gumboot
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 263
- 93
Jamani hebu tukumbushane yale mambo mazuri yaliyokuwepo nyakati zile pamoja na changamoto tulizozikabilina nazo kama kufuata kuni pori,kubeba jembe ,na sahani,fyekeo,siku ya jtatu ,kukimbia mchakamchaka,kulima shamba la mahindi pamoja na bustani za matunda.