Nilisoma hapo tangu 1997 to 2000! Kulikuwa na mambo mengi mazuri km umeme, maji muda wote, matunda na bustani za kutosha mabweni mazuri mnalala 4 hamna kubanana, maktaba ya uhakika maabara nzuri walimu wa kutosha. Mazingira safi ya kusomea, ila kero zake sasa kulima kila siku mpaka jmosi, mchakamchaka japo tuliandamana mpaka ikatolewa, kulisha ng'ombe, bedcheking, roll call mara 4 kwa siku hadi shambani ni kuitwa majina,j3 ile master parade ni kwenda na jembe pamoja na sahani km huna unarudishwa kununua! Ki ujumla it was the best school