Kama kuna watu wanalipwa na mabeberu na kuna ushahidi wa incite mutiny. Kwanini serikali isiwakamate?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.

Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?

Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA
 
Kinacho chekesha hata waziri mkuu feki alikuwa waziri wa fedha hafahamu wanalipwaje kupitia benk gani.

Ukisikia kuishiwa mbinu kwa CCM.Kuna siku watesema Mwenyezi mungu ni shetani wa tanzania anaharibu amani ya nchi
 
Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.

Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?

Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Usiwasikilize hao mapimbi mkuu. Wanatapatapa tu!
 
Tatizo mnakasirika wakati mwigulu anajua target audience yake na ujumbe wameuelewa wakamshangilia
Sio kwamba hajui anadanganya ila anajua faida ya uongo wake kwa audience wake
"target audience"🤣 🤣 🤣 ....... ndo hapo sasa,, unajua watu tukiwa hapa JF tunafikiri kwamba kule Mtimbira au Namanyere wata wanawaza kama hapa,,, jamani tembeeni muone watu walivyo..
wengi wameshazoea maisha yao kiasi kwamba wanayaona ya kawaida na nyie mnaokuja na fikra zenu wanawashangaa..
 
Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.

Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?

Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Tatizo mna haraka,Ile tume si haijamaliza kazi,ila wakidakwa watakatifu wenu msianze mayowe kwa madai ya kukosa wa kuwasamehe dhambi
 
"target audience"🤣 🤣 🤣 ....... ndo hapo sasa,, unajua watu tukiwa hapa JF tunafikiri kwamba kule Mtimbira au Namanyere wata wanawaza kama hapa,,, jamani tembeeni muone watu walivyo..
wengi wameshazoea maisha yao kiasi kwamba wanayaona ya kawaida na nyie mnaokuja na fikra zenu wanawashangaa..
Kiukweli, CCM wanafanya vitu ambavyo wananchi walio wengi hawashangai, ndio maana kelele zinaishia mitandaoni
Hao viongozi wa CCM na wanachama ndio tupo nao kwenye familia zetu kila siku

Mwigulu kusema hivo watu wa huko singidani wamemuelewa na leo usiku utawakuta vijiweni wakijadili na kumuamini alichosema
 
Raia wengi hawana habari za mtandaoni
 
Tatizo mna haraka,Ile tume si haijamaliza kazi,ila wakidakwa watakatifu wenu msianze mayowe kwa madai ya kukosa wa kuwasamehe dhambi
Na yule aliyelipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29 30 na 31 Madilu alisema amekamatwa.
 
Back
Top Bottom