Usiwasikilize hao mapimbi mkuu. Wanatapatapa tu!Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Acha kumwongelea Mwigulu vibaya,, anafanya anachopaswa kufanya,,MWIGULU NI MUONGO MNO.
ANAWAFANYA WATANGANYIKA WAPUMBAVU SANA.
HAWA WATU KILA DHAMBI WAO.
KUUA, KUIBA, KUDANGANYA, UZINZI NK
"target audience"🤣 🤣 🤣 ....... ndo hapo sasa,, unajua watu tukiwa hapa JF tunafikiri kwamba kule Mtimbira au Namanyere wata wanawaza kama hapa,,, jamani tembeeni muone watu walivyo..Tatizo mnakasirika wakati mwigulu anajua target audience yake na ujumbe wameuelewa wakamshangilia
Sio kwamba hajui anadanganya ila anajua faida ya uongo wake kwa audience wake
Tatizo mna haraka,Ile tume si haijamaliza kazi,ila wakidakwa watakatifu wenu msianze mayowe kwa madai ya kukosa wa kuwasamehe dhambiHili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Kiukweli, CCM wanafanya vitu ambavyo wananchi walio wengi hawashangai, ndio maana kelele zinaishia mitandaoni"target audience"🤣 🤣 🤣 ....... ndo hapo sasa,, unajua watu tukiwa hapa JF tunafikiri kwamba kule Mtimbira au Namanyere wata wanawaza kama hapa,,, jamani tembeeni muone watu walivyo..
wengi wameshazoea maisha yao kiasi kwamba wanayaona ya kawaida na nyie mnaokuja na fikra zenu wanawashangaa..
Raia wengi hawana habari za mtandaoniKiukweli, CCM wanafanya vitu ambavyo wananchi walio wengi hawashangai, ndio maana kelele zinaishia mitandaoni
Hao viongozi wa CCM na wanachama ndio tupo nao kwenye familia zetu kila siku
Mwigulu kusema hivo watu wa huko singidani wamemuelewa na leo usiku utawakuta vijiweni wakijadili na kumuamini alichosema
Na mbona mabwana zako huwa wanaizima mitandao kama ni kweli haina impact?!.Raia wengi hawana habari za mtandaoni
Kwanini huwa tunaizima?Raia wengi hawana habari za mtandaoni
Unajua neno 'wengi' Lina maana gani?Kwanini huwa tunaizima?
Na yule aliyelipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29 30 na 31 Madilu alisema amekamatwa.Tatizo mna haraka,Ile tume si haijamaliza kazi,ila wakidakwa watakatifu wenu msianze mayowe kwa madai ya kukosa wa kuwasamehe dhambi