usikute Sdrikali yenyewe haijui Mabeberu ni watu ganiHili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Hilo chizi lililorogwa tena sio la kulitilia maananiHili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Linamaana wachache unaowadogosha wanatosha.Unajua neno 'wengi' Lina maana gani?
Wanahisi tu.Hawana ushahidi hata wa uongo.Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Ukamate hewaHili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Mwigulu mwongo sanaHili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
Hivi mnajua siri ya ccm kumwamini huyu savimbi? Ujuha wake ulikua na kupea pale Moriet Arusha alipoongoza kile kikosi chake kuutupia bomu mkutano wa cdm. Na tangu hapo amekuwa akikilea kikundi kile na ndicho kinachoongoza utekaji na mauaji hadi sasa.Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
HahahTatizo mnakasirika wakati mwigulu anajua target audience yake na ujumbe wameuelewa wakamshangilia
Sio kwamba hajui anadanganya ila anajua faida ya uongo wake kwa audience wake