Kama kuna yeyote anahitaji fremu ya wakala wa bemki ns mitandao ya simu, kuna fursa hapa

Kama kuna yeyote anahitaji fremu ya wakala wa bemki ns mitandao ya simu, kuna fursa hapa

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,167
Reaction score
24,129
Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa.

Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu ambae una Mtaji Tu gharama kubwa ni upande wa Vifaa au Vitendea kazi.

Nipo Hapa kumpa Taarifa Mtu anae hitaji kufanya biashara Tajwa lakini hajui akafanyie Wapi.

UTAPATA

Mashine (POS) za Benki Kubwa zote

1.CRDB
2.NMB
3.NBC
4.SELCOM
5.EXIM
6.MAENDELEO

UTAPATA LAINI ZA SIMU MITANDAO YOTE

1.TIGO/YAS
2.VODA
3.AIRTEL
4.HALOTEL
5.TTCL

Utapata OFISI ILIYOKAMILIKA YENYE

1.MEZA
2.SAFE

HUTOGHARAMIKA KITU ZAIDI YA KODI TU

1.Ulinzi + cctv Camera
2.Usafi
3.Umeme

Vitu vi 3 hapo Juu vinagharamiwa na OFISI.

OFISI INAFANYA KAZI 24 HOURS HAPAFUNGWI.

MAHITAJI YA MPANGAJI :

1.Uwe na Mtaji Usiopungua 10m (MUST)

2.Uwe na Morari na kazi na team utakayoweza ipanga namna ya kufanya kazi 24hrs.

3.KODI YA OFISI ambayo ni 500,000 kwa mwezi ambapo ilipwe kodi ya Miezi 6 (Bila Kupungua)

ENEO :

1.Dar Es Salaaam

i.Mbezi Mwisho (Office ipo 1)
ii.Kimara Mwisho (Office ipo 1)
iii.Mlandizi Stand (Office ipo 1)

2.MOROGORO
i.Msamvu Stand (office ipo 1)
ii.Masika Abood(office ipo 1)

Muhitaji wa Biashara hiiii utachagua unataka kwenda ofisi ipi kati ya Tajwa hapo Juuu.

KODI ni sawa kote ofisi zote bei ya kodi inalingana.

USALAMA GUARANTEED
UBORA WA OFFICE GUARANTEED
USAFI GUARANTEED OFFICE

Ofisi hizi nazipangisha kwa yeyote anaejiona anakidhi vigezo tajwa hapo Juu.

MUHIMU :

Kuna ambao wana laini zao na POS zao, naelewa kabisa hivyo kwa ofisi hizi hutohitajika kutumia laini wala pos zako utatumia kila kitu cha Ofisi.

Mawasiliano : JF > PM

Shukran.
 
Good news
 
Back
Top Bottom