Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nchi yetu ilianza kuharibika sana kuanzia pale mifumo ya wezi na watawala walipoamua kuhakikisha Tanzania haina mbunge hata mmoja wa upinzani bungeni.
Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2015 tuliona angalau fedha za umma zikizingatiwa na kutumika kuleta maendeleo. Angalau tukaanza kuona barabara zinajengwa na shule kuongezeka, bodi ya mikopo elimu ya juu zikaimarika. Vyuo vikuu vikajengwa kwa wingi.
Mazee hizo harakati hazikuwa kwa bahati mbaya bali ni watu waliamua kutilia mkazo kwenye maendeleo na kusimamia fedha ipasavyo. Hata kama wizi ulikuwepo.
Sasa sijui Nchi yetu ikavamiwa na Zimwi gani ghafla mambo yakabadilika.
Mbunge akihoji bungeni anaambiwa anasubiriwa anyoshwe. Na Spika akagizwa huko m
bungeni anayejifanya kuongea ongea sana akomeshwe na atolewe nje.
Mipango ikasukwa na ukafanikiwa kweli.
Wakaenda mbali zaidi hao majizi kuhakikisha hakuna kuhoji kuhusu matumizi ya fedha za umma. Miradi ikawa inajiendea endea tu.
Kilele kikafikiwa 2020 wakaua mifumo yote ya usimamizi wa sera za serikali na maono yake. Kila Mtu akawa chawa wa Mfalme.
Ikawa lazima uwe chawa ili uendelee kusurvive au ku secure ajira na cheo chako.
Jahazi likazama.
Sisi tunawaangalia tu na kuwachora mnavyohangaika kutupiana maneno sijui huyu kafanya hivi huyu kafanya vile.
Mazee kuleni tu kimya kimya sisi wanyonge nchi tumewaachia na Wananchi wala hawawafatilii tena. Uzeni kila kitu mnachotaka mtuachie uhai tu.
Namsalimia Shemeji Yangu Job Ndugai hapo Kongwa. Mimi na Dada Yako salama.