Kama kungekuwa na ligi ya kuachana ningekuwa naongoza kwa kuachwa

Status
Not open for further replies.
Wanajf nisaidieni hawa wanawake hawapendi ndoa ,au ndo nini huwaga natumia rasilimali muda mwingi sana mpaka sielewi nianzie wapi tena je nifanyaje???

Wakisema watoke mbele walioumia kwenye mapenzi, wewe unaweza jikuta unashika nafasi ya mwisho, kuna watu wameumia haya Yako cha mtoto.

Binafsi siamini kama unafika hata robo ya niliyopitia. Hivi ushawahi kumsindikiza mpenzi wako kwa mjomba wake, alaf unakaribishwa vizuri kwenye garden nje hapo, unapewa juice nzuri ya matunda, yeye anakuwa ndani unahisi anaongea na familia, kumbe anakazwa na huyo anayemuita mjomba?

Ushawahi kununua pakiti kadhaa za condom then ukaziacha kwa mpenzi wako, ila after days unaenda unakuta zimeisha na hujazitumia wewe? Alaf uvunguni kuna kasha tupu na moja imetumika zimesahaulika?

Ushawahi kumsindikiza mpenzi wako asubuhi stand ya mkoa Ubungo pale, ukamkatia tiketi na Hela ya kula njiani ukampa maana ni safari ya almost siku nzima mpaka afike, alaf mchana yake mnakutana kariakoo anachagua nguo?

Ushawahi kuambiwa na jamaa Yako uende ukampokee demu wake sehemu maana yeye Yuko bize kidogo, then umpeleke gheto kwake atamkuta huko. Unawasha pikipiki mpaka meeting point alaf unajikuta uliyeenda kumpokea ni mpenzi wako ambaye wewe amekwambia anajiskia hovyo hamtoweza kuonana siku hiyo?

Hayo matukio yote nikisema niyaandike kwa urefu, unaweza ukafuta thread Yako.

Mkuu, maumivu ni makali kwako, ila ukitaka kuyalinganisha na ya wengine utajishangaa.

Kuna watu ukiwekewa mioyo Yao unaweza ukafa. So, take it easy and chill.
 
Hahahahah acha kulalamika mimi nimepigwa sana,acha zako , unafikiria kubakisha wiki 3 ,kabla ya ndoa alafu unaaachwa ni kitu rahisi ,wengine tunajipaga moyo tuuh ili tuongeze siku za kuishi
 
Wiki 3 kabla ya ndoa ipi sasa mkuu?? Wewe ndio kwanza ulikuwa unataka kupropose, na sio kwamba mlishaanza michakato ya ndoa
 
Dogo, siku ukikua, utakuja kuona ni jinsi gani ulichoandika hapa ni mavi matupu! Utatamani katokee ka bar kalikoandikwa "delete thread" lakini hakatotokea! [emoji23][emoji23]

Ngoja ukue kwanza!
 
Mnasumbua mjue
[emoji23][emoji23] Huyu kijana kama sio wa O'level tena form 4B basi atakuwa Lushambulu kutoka Shinyanga! Sijui katuchukuliaje humu jukwaani [emoji23] Alidhani humu ni kwenye magroup ya hadithi ya Erick Shigongo kule facebook!

Suluhisho la haya yote ni uchaguzi mkuu 2025 [emoji1732][emoji1732]
 
Ukimganda sana unaonekana mjinga..ukiwa bizee utaambiwa haujali tena yaani pasua kichwa tu
 
Kumbe wote mko vile ,comment za kipuuzi ,acheni ujinga mtu anapitia wakati mgumu ,alafu una comment upuuzi ,si nilishawaambia leo nayo nimepigiwa tukio kama hilo,subirini nitawapeni visa vitano vya mwanzo kichwa kikikaa vizuri,la leo lilikuwa lina machungu sana,hilo ni la 5 years ago
Ata hivyo vitano havitoshi kuchukua uskani wa ligi hebu nenda shule kidogo..
 
Yaaaap ndo mara ya kwanza kutype uzi jf,na jana niliandika nikiwa mfadhaiko any way ngoja tuedit
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom