Umepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie. Ungemchagua nani?
Maisha haya ninayoishi bado sijatusua. Halafu wakti mwingine najikuta kuna sehemu fulani ingrnifaa sana ila sina privilege ya kuipata. Anyway I would like jamaa aliyecheza
Behind Enemy line.
Bonny and Clyde
White Boy Rick
Papilon
Seashawk Redemption
Catch me if you can
Yule black aliyekuwa na mtoto wake mgonjwa ktk Prison Break.
Hawkshaw Ridge
Predator 2018 yule an aquisist.
Hawa jamaa nikiwapa script yangu nika direct mwenyewe naamini wanaweza nipatia pesa mingi sana.....