Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mwanaume wako yupi wakati upo single?!Ningeigiza mwenyewe ila mwanaume wangu awe Michael Ealy au Idris Elba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wako yupi wakati upo single?!Ningeigiza mwenyewe ila mwanaume wangu awe Michael Ealy au Idris Elba
Si kwenye kuigiza.. HahahahaaMwanaume wako yupi wakati upo single?!
Hemed PHDUmepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie. Ungemchagua nani?
Duuh! Asante kwa uzalendo mkuu,,maana naona watu wanataja majina ya holiwudi tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hemed PHD