Kama kungekuwa na movie inayohusu maisha yako, ungependa actor/actress gani aigize part yako

Kama kungekuwa na movie inayohusu maisha yako, ungependa actor/actress gani aigize part yako

Umepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie. Ungemchagua nani?
Hemed PHD
 
Jimmy Carrey na Leonardo DiCaprio yani hawa wote awe mtu mmoja ndiyo utanipata mimi ndani yake
 
Back
Top Bottom