Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko.
Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa.
Sauti iwafikie popote mlipo wenye michepuko ili hali mmeoa na mnataabika.
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz
Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa.
Sauti iwafikie popote mlipo wenye michepuko ili hali mmeoa na mnataabika.
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz