Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwani kimboka kuna mademu pisi kali sana au wanaenda kubadili ladha ya minyanduoDuuh ndoa za bongo huwa zinafanana Kama drama mtu kaoa lakini hatulii kutwa kimboka
Hii kitu ni universal bro. Shits are real.Duuh ndoa za bongo huwa zinafanana Kama drama mtu kaoa lakini hatulii kutwa kimboka
Waje wanafanya zinaa kutuzidi sisi halafu wanahimiza upumbavu wanaoukataa kwa vitendo wao wenyewe. Hawatupati hawa wazinziNgoja niwaite...
""Wenye ndoa zenu njoooni, KATAA NDOA wameshusha nondo huku. Njooni mzijibu""
Ngoja tuwasubiri wanakuja
#YNWA
Yaani zinaa inaanza kabla ya ndoa.Waje wanafanya zinaa kutuzidi sisi halafu wanahimiza upumbavu wanaoukataa kwa vitendo wao wenyewe. Hawatupati hawa wazinzi
Wanasoma na kupita kimya kimyaWenye ndoa wanakuja kujibu uzi kwa speed[emoji28]