Kama kura za Makaratasi zinaibiwa kimachomacho za kidijtali zikianza? Nape amezoea kumaliza kwa bao mkono

Kama kura za Makaratasi zinaibiwa kimachomacho za kidijtali zikianza? Nape amezoea kumaliza kwa bao mkono

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hii naona ndio mnataka kuumiza watu kabisa
20230928_194152.jpg
 
Hapo Makamba na Nape washajipanga kikamilifu kuiba kwa teknolojia
 
CCM sio mafala kama tunavyofikiria ukiona wameanza kukubali ujue kuna TOBO wameandaa Kwaajili ya kuiba Kura na huku kwenye digitali ndiyo tutapigwa balaa ni Bora tuendelee na mfumo wetu wa kukimbizana na masanduku ya Kura
 
Za kidijitali haziibiwi msiwe na wasiwasi, zinajicount zenyewe kama mambelembele
 
Si rahisi watu kukubali mabadiriko lazima mtapinga tu ila watu wakiamua lao litapita tu!.
Swala la kutumia digital na swala la kuibiwa kwa kura hivi ni vitu viwili tofauti!.
Huo ni mfumo ambao mtautumia huko mbeleni swala la kujadiliwa ni kivipi mnaweza kudhibiti wizi wa kura!.
 
Maandalizi ya udokozi wa kura
Huyu jamaa ni nani kwenye tume ya uchaguzi mpaka asema ''tuna.......''. Ndiyo, najua kuwa tume ya uchaguzi ni kikaragosi cha CCM lakini hii ni dharau mabya sana kwa wapiga kura wa Tanzania. Hapa wameshaona hali ni ngumu na wananchi wanaweza kukinukisha wakiiba tena..
 
Halafu hayo aliyosema yalikuwa majukumu ya time ya uchaguzi- huyu Nape Kila akifungua mdomo kwenye kadamunasi- ni hatari na nusu - kauli za ukakasi tu…
 
Wakiruhusu transparency itaonesha uhalisia sema wataenda kuchokonoa database ndo wataharibu
Mifumo kama hiyo inahitaji uwajibikaji wakweli,uadilifu wa mifumo na tabia za jamii yenyewe katika uwajibikaji,na uwajibishwaji wa kizalendo na sio ule wa kimaslahi,🤔
 
Mifumo kama hiyo inahitaji uwajibikaji wakweli,uadilifu wa mifumo na tabia za jamii yenyewe katika uwajibikaji,na uwajibishwaji wa kizalendo na sio ule wa kimaslahi,🤔
Sikumbuki exactly unaweza nirekebisha/nikumbusha! Nliskia Kuna dogo aliwahi tengeneza mfumo ambao unaweza tumika katika uchaguzi na utakua unaonesha matokeo kadri watu wanavopiga kura, kama zoezi likikamilika saa kumi kamili na matokeo yatakua yanaonekana on time
 
Kwa wataalamu wa IT watukumbushe hili tafadhali.🤔
 
Back
Top Bottom