Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo)
Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko daktari wa Hospitali ya meno ya Sinza ambaye amepewa kesi ya utakatishaji pesa tsh laki 2 na elfu sitini kwa tuhuma za utoaji mimba.
Kwanini Wema Sepetu aliyekiri mwenyewe hadharani kuchoropoa mimba mbili za Kanumba asikamatwe na kushitakiwa?