Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

Ukimpeleka mahakamani atakwambia utoe ushahidi kama kweli ametoa mimba hapo ndipo atakapokuacha.

#Bagwell
Jamaa mjinga kweli kwenye mambo ya sheria. Anafikiri mtu akisema nimefanya jambo fulani basi moja kwa moja anatiwa hatiani.
 
Kila siku wema ni mtu wa kutokwa na mimba tu mpaka inafikia hatua huelewi ukweli ni upi na uongo ni upi.

Mara mimba ya domo ilitoka sababu ya kipigo

Mara mimba ya mapacha ya idris ilitoka bila sababu.
 
FB_IMG_1581120558456.jpg
 
Back
Top Bottom