Kama kutosinzia kutasaidia kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika taifa; Watanzania tukeshe sasa

Kama kutosinzia kutasaidia kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika taifa; Watanzania tukeshe sasa

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania.

Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
 
Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania.

Nadhani ili itabidi watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
Amelazimishwa asilale? shida zake ndiyo zinamtesa na hajalazimishwa kuwa Rais kama vipi ajihuzulu haraka
 
Nchi inaongozwa na Mapaka👇😁😁😁
AEb8rs.jpeg
16525976734300.jpg
ummY_jc.jpg
 
Asitutishe huyu, ameanza maneno kama ya marehemu Jiwe, watanzania wote Nina lala mafaili yenu,matokeo yake tarehe 17/3/2021 kalala nayo jumla , mafaili ya kina Mwigulu, Majaliwa, Tulia , Jafo, Bashungwa, Ndalichako, Gwajima ,Umi Mwaimu , Mpango Dotto James nk, huwezi yaona labda tukavunje lile kaburi Chato
 
Back
Top Bottom