Amelazimishwa asilale? shida zake ndiyo zinamtesa na hajalazimishwa kuwa Rais kama vipi ajihuzulu harakaKumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania.
Nadhani ili itabidi watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
Ni ngumu sn kutawala pundamilia kuliko kutawala watanzania ambao wamejaa ujinga tupuNchi imejaa majuha hii kuanzia juu hadi chini, ni rahisi mno kuyatawala.
Anakesha akiangalia moveUkeshe kwa mihogo ya jero? wenzio mambo yao ni raha mustarehe....