Kama kuvunja mkataba ni kitu easy basi ManzoKi angekuwa Zuwena fc.

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Kuna mashabiki wa
simba/zuwena fc wamejipa jukumu la kumtetea fei..wanajikuta wanajua mambo mengi ya timu kubwa kuliko timu yao yenye migogoro ya viongozi kila kukicha.

NAWAKUMBUSHA TU
kama kuvunja mkataba ni rahisi basi Manzoki angekuwa Zuwena fc.
 
Luc Eymael hakukosea kuwaita mibwatukaji .
 
Very relevant,kudo![emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Zuwena FC, Kinyumenyume FC, Mbumbumbu FC, Makolo Kolo FC, Ngada FC Ni Wajuaji Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna hoja, umeandika mipasho, na hii ni JF.

Kuweka kumbukumbu sawa, kuvunja mkataba ni jambo la kawaida kabisa na sio jambo la ajabu.
 
Tatizo la mashabiki wengi wa simba, ni usahaulifu. Dakika mbili mbele, wameshasahau.
 
Huna hoja, umeandika mipasho, na hii ni JF.

Kuweka kumbukumbu sawa, kuvunja mkataba ni jambo la kawaida kabisa na sio jambo la ajabu.
Jibu hoja
Maana mchezaji amesema kua anaipenda sana simba hadi kwenye uchaguzi mkamleta, kwa nini havunji mkataba na timu yake ili aje hapo anapopapenda? 😀
 
Huna hoja, umeandika mipasho, na hii ni JF.

Kuweka kumbukumbu sawa, kuvunja mkataba ni jambo la kawaida kabisa na sio jambo la ajabu.
Mbona hamkuvunja mkataba wa manzoki uliokuwa umebakiza miezi tu...mpaka wachina wakamnunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…