kwa mateso waliyopata nesta na canavaro ni haki yao kustaafu soka
Thank you bro
Wasingeonekana kwa mabeki wa sasa, mana mchezo wao ulikuwa wa kawaida tu___kwa lugha nyingine tunasema "wanakabika"
Jitu kama Messi ndio tunasema "ni ngumu kumkaba kwa beki yeyote yule,, hata waje mabeki 10 like nesta na hawataweza kumkaba jini huyu"
Asante sana Messi.
Messi Amecheza Michezo Mingapi vs Chelsea na Amewafunga Chelsea Magoli Mangapi??
Labda Kwanza Tuanzie Hapo ili Tujadili Kuwa Anakabika au Hakabiki..
Tatizo Nakuona unataka kuleta historia, Chelsea huwezi kuibeza kwa sasa ni timu kubwa pia , labda utupe vigezo vya kua timu kubwa ukilinganisha na matokeo ya miaka ya usoniTunaongelea timu kubwa ulaya siyo hizo chelsea na kina totenham,
Tatizo Nakuona unataka kuleta historia, Chelsea huwezi kuibeza kwa sasa ni timu kubwa pia , labda utupe vigezo vya kua timu kubwa ukilinganisha na matokeo ya miaka ya usoni
Ni kweli kabisa, messi ni mtu wa kipekee sana , najivunia kumuona messi katika maisha yanguTeh teh Jokes za mpira mkuu usipanic , mojawapo ya timu ambazo messi kawakimbiza mabeki ni chelsea tena ile ya Mou, kuichachafya beki siyo lazima ufunge, angalia mechi moja Barca anawaua chelsea kwa goli la Iniesta dakika za majeruhi , angalia hilo goli lilitokea wapi ndo utajua messi ni nani, Dogo keshawapa kadi nyingi tu. ukitaka video ntakuwekea.

Tunaongelea timu kubwa ulaya siyo hizo chelsea na kina totenham,
Messi Amecheza Michezo Mingapi vs Chelsea na Amewafunga Chelsea Magoli Mangapi??
Labda Kwanza Tuanzie Hapo ili Tujadili Kuwa Anakabika au Hakabiki..
Tunaongelea timu kubwa ulaya siyo hizo chelsea na kina totenham,
Kuna elclassico moja messi alimpiga chenga roberto carlos bila hata kuugusa mpira. Babu alianguka hadi chini. Tena ilikua zamani wakati messi mdogo ana miaka 18 tu sasa je angekutana na huyu sasa ingekuaje?Kuna wachezaji hawakabiki haijalishi beki wa zamani au sasa.
Ni kweli kabisa, messi ni mtu wa kipekee sana , najivunia kumuona messi katika maisha yangu
Kama hauna degree ya mambo ya mpira nakupa ya heshima mtaalumaNimeupenda huu Uzi, sasahivi kuna kitu wanaita modern football, pengine wachezaji wengi wa zamani wangeshindwa, zamani tulizoea kumuona namba 6 akiwa mtu mwenye mapana mengi na pumzi nyingi saiv sio hivo mpira mipango na mbinu ,tazama Sergio busquet, mwili mdogo ,akili nyingi mfumo unambeba, sitamani kuwaona mabeki wa zamani kwani saivi mabeki ndo waanzilishi mashambulizi, tazama mfumo wa 3-4-3 utalijua hilo, shangaa kuona wafungaji wengi wanatengenezwa kutokea pembeni sio tena katikati,
Football inapokea mabadiliko kila kukicha na itazidi badilika.
Ni kweli kabisa, messi ni mtu wa kipekee sana , najivunia kumuona messi katika maisha yangu