Kama kwa beki zile walifunga ingekuaje leo?

Kuna elclassico moja messi alimpiga chenga roberto carlos bila hata kuugusa mpira. Babu alianguka hadi chini. Tena ilikua zamani wakati messi mdogo ana miaka 18 tu sasa je angekutana na huyu sasa ingekuaje?
Kuna wachezaji hawakabiki haijalishi beki wa zamani au sasa.
 
Nimeupenda huu Uzi, sasahivi kuna kitu wanaita modern football, pengine wachezaji wengi wa zamani wangeshindwa, zamani tulizoea kumuona namba 6 akiwa mtu mwenye mapana mengi na pumzi nyingi saiv sio hivo mpira mipango na mbinu ,tazama Sergio busquet, mwili mdogo ,akili nyingi mfumo unambeba, sitamani kuwaona mabeki wa zamani kwani saivi mabeki ndo waanzilishi mashambulizi, tazama mfumo wa 3-4-3 utalijua hilo, shangaa kuona wafungaji wengi wanatengenezwa kutokea pembeni sio tena katikati,

Football inapokea mabadiliko kila kukicha na itazidi badilika.
 
Wasingeonekana kwa mabeki wa sasa, mana mchezo wao ulikuwa wa kawaida tu___kwa lugha nyingine tunasema "wanakabika"

Jitu kama Messi ndio tunasema "ni ngumu kumkaba kwa beki yeyote yule,, hata waje mabeki 10 like nesta na hawataweza kumkaba jini huyu"

Asante sana Messi.

Messi Amecheza Michezo Mingapi vs Chelsea na Amewafunga Chelsea Magoli Mangapi??
Labda Kwanza Tuanzie Hapo ili Tujadili Kuwa Anakabika au Hakabiki..
 
Tunaongelea timu kubwa ulaya siyo hizo chelsea na kina totenham,
Tatizo Nakuona unataka kuleta historia, Chelsea huwezi kuibeza kwa sasa ni timu kubwa pia , labda utupe vigezo vya kua timu kubwa ukilinganisha na matokeo ya miaka ya usoni
 
Teh teh Jokes za mpira mkuu usipanic , mojawapo ya timu ambazo messi kawakimbiza mabeki ni chelsea tena ile ya Mou, kuichachafya beki siyo lazima ufunge, angalia mechi moja Barca anawaua chelsea kwa goli la Iniesta dakika za majeruhi , angalia hilo goli lilitokea wapi ndo utajua messi ni nani, Dogo keshawapa kadi nyingi tu. ukitaka video ntakuwekea.
 
Ni kweli kabisa, messi ni mtu wa kipekee sana , najivunia kumuona messi katika maisha yangu
 
Teh teh Jokes za mpira mkuu usipanic , mojawapo ya timu ambazo messi kawakimbiza mabeki ni chelsea tena ile ya Mou, kuichachafya beki siyo lazima ufunge, angalia mechi moja Barca anawaua chelsea kwa goli la Iniesta dakika za majeruhi , angalia hilo goli lilitokea wapi ndo utajua messi ni nani, Dogo keshawapa kadi nyingi tu. ukitaka video ntakuwekea.
Ni kweli kabisa, messi ni mtu wa kipekee sana , najivunia kumuona messi katika maisha yangu
 
Tunaongelea timu kubwa ulaya siyo hizo chelsea na kina totenham,

Hebu wacha UBASHITE! Mimi niliyemQuote hapo juu nimerespond directly Kauli yake ya ""Jitu kama Messi ndio tunasema "ni ngumu kumkaba kwa beki yeyote yule,, hata waje mabeki 10 like nesta na hawataweza kumkaba jini huyu""

Sasa wewe unaniletea Kauli za Kiajabuajabu.....

Yeye Kasema "KWA BEKI YEYOTE YULE" na wala Hakubagua Kuwa Wawe wa Timu Gani...

Na mimi nataka Nimjibu Kuwa Katika Historia Yake Ya Kucheza Na Chelsea Aliishia Kupiga Chenga Nje ya Box tu! Lakini Hakuwahi Kuwapenetrate TERRY na CAVALHO... anaebisha na abishe lakini aje na stats zake kamili za kupinga na sio majisifu tu...

Kwa akili zako hizo tafadhali UsiniQuote Coz U gonna waste ma time..
 
Messi Amecheza Michezo Mingapi vs Chelsea na Amewafunga Chelsea Magoli Mangapi??
Labda Kwanza Tuanzie Hapo ili Tujadili Kuwa Anakabika au Hakabiki..

Kuna beki gani wa maana pale chelsea wakuwazidi wakina NESTA,CANNAVARO,ROBERTO CARLOS,RIGOBERT SONG N.K. wote hawa kwa mateso waliyopata ni haki yao kustaafu soka.

Ukija kwa OTAMENDI, PEPE, CARVAJAL,MARCELO RAMOS N.K hakubakiza mtu. Chezea King Messi wewe.

Wewe hata ukibisha vipi hatukuelewi. Na ISLAND atakuletea video ujionee,,kama vipi ingia mwenyewe youtube na usisubiri kuhadithiwa au kuletewa.

Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.

Messi is the greatest player ever! No doubt.
 
Kuna elclassico moja messi alimpiga chenga roberto carlos bila hata kuugusa mpira. Babu alianguka hadi chini. Tena ilikua zamani wakati messi mdogo ana miaka 18 tu sasa je angekutana na huyu sasa ingekuaje?
Kuna wachezaji hawakabiki haijalishi beki wa zamani au sasa.

Exactly Mkuu. Nimependa uandishi wako,,,na unaujuwa mpira kweli kweli
 
Nimeupenda huu Uzi, sasahivi kuna kitu wanaita modern football, pengine wachezaji wengi wa zamani wangeshindwa, zamani tulizoea kumuona namba 6 akiwa mtu mwenye mapana mengi na pumzi nyingi saiv sio hivo mpira mipango na mbinu ,tazama Sergio busquet, mwili mdogo ,akili nyingi mfumo unambeba, sitamani kuwaona mabeki wa zamani kwani saivi mabeki ndo waanzilishi mashambulizi, tazama mfumo wa 3-4-3 utalijua hilo, shangaa kuona wafungaji wengi wanatengenezwa kutokea pembeni sio tena katikati,

Football inapokea mabadiliko kila kukicha na itazidi badilika.
Kama hauna degree ya mambo ya mpira nakupa ya heshima mtaaluma
Umeongea kitu
Nimekupata.

Back
Top Bottom