johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni mtu aliyevimbiwa tu anayeweza kuanza kudai Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mpya.
Katiba tuliyonayo hata irekebishwe vipi haitaweza kutoa mwanya wa kupata Tume Huru ya Uchaguzi kutokana na msingi wake.
Liangalie bunge kisha iangalie mahakama ndio utaelewa.
Tusisahau ilianza Katiba ya TANU (CCM) ndipo ikaja Katiba ya Tanganyika.
Mwenyekiti wa CCM ndio anateua viongozi wote nchini.
Nawatakia Sabato njema.