johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ACT wazalendo ni branch ya CCM!Kuke kwenye uzi wa Act Wazalendi nimewauliza hulo swali.
Namna gani vipi watafanya mwenyekiti wa ccm asiingize makucha yake kwenye tume huru?? Hizo sheria za uchaguzi zitatungwa na Bunge lipi??
Anyway ACT badi changa sana iko kwenye stage ya kutafuta kuungwa mkono na wanachama wapya.
Chadema imeshavuka hiyo stage.
🤣🤣🤣🤣TuliwashtukiaACT wazalendo ni branch ya CCM!
Hahahaaaa......!🤣🤣🤣🤣Tuliwashtukia
Tunakushukuru kwa ushahidiACT wazalendo ni branch ya CCM!
Ipi hiyo ,Mama ana nia safi