Naona umetafuta mada itakayokuwa na wachangiaji wengi.Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko...
Chadema ni genge la WAHUNI tuCharity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?
Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
Atatunwa tuu na mmawiaMleta mada apatiwe majibu yanayoeleweka.
Wewe umeishia la ngapi? Unayeshindwa kutofautisha hata katiba ya chama na ya nchi?? Kwamba ati kwakuwa katiba ya chadema ina mapungufu unyoyaona wewe japo siyo mwanachama basi iache kujadili katiba ya nchi inayomfanya raisi kuwa mungu mtu????Umeishia darasa la ngapi?
Anayopewa yanaeleweka sema wewe una ya kwako.Mleta mada apatiwe majibu yanayoeleweka.
Hivi wewe ni kijana au mzee? Katiba ya nchi na ya chama ni ipi kipaumbele chako? Usijisahau Sana ujanani ukidhani uzeeni utalia kivulini! Nchi ina hitajio la katiba mpya ili wanao na wajukuu zako Kama upo fertile waje kunufaika nayo! Acha ubinafsi usio na tija Kwa nchi Yako!Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?
Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
Aweke vifungu vya katiba ya chadema vinabyoruhudu ufisafi na udikteta ndio apewe majibu.Mleta mada apatiwe majibu yanayoeleweka.
Kukiwa na wachangiaji wengi analipwa au nikuwashwa kwake.Naona umetafuta mada itakayokuwa na wachangiaji wengi.
Hawa pia Wana nia ya kwenda ikulu kama tusiwajadili sasa unategemea Nini baadae?Hivi wewe ni kijana au mzee? Katiba ya nchi na ya chama ni ipi kipaumbele chako? Usijisahau Sana ujanani ukidhani uzeeni utalia kivulini! Nchi ina hitajio la katiba mpya ili wanao na wajukuu zako Kama upo fertile waje kunufaika nayo! Acha ubinafsi usio na tija Kwa nchi Yako!
Huyo hana mpango wa kuwa na watoto kwani huyo ni "si riziki".Hivi wewe ni kijana au mzee? Katiba ya nchi na ya chama ni ipi kipaumbele chako? Usijisahau Sana ujanani ukidhani uzeeni utalia kivulini! Nchi ina hitajio la katiba mpya ili wanao na wajukuu zako Kama upo fertile waje kunufaika nayo! Acha ubinafsi usio na tija Kwa nchi Yako!
Mtaniwia radhi kidogo. Hawa vijana wa CCM ni mzigo wa hovyo kabisa kwa taifa kwani wana endekeza upumbavu na ujinga.Eti hawa ndiyo vijana wa CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madhara ya kutumia makalio kufikiriMtaniwia radhi kidogo. Hawa vijana wa CCM ni mzigo wa hovyo kabisa kwa taifa kwani wana endekeza upumbavu na ujinga.
Hivi wanashindwa kuelewa tofauti ya Chama cha siasa na Taifa (nchi)? Sasa kama watu hao wana akili za namna hiyo wanastahili hata kujadiliana nao jambo lolote kwa ujinga walio nao?
Chama cha siasa mfano CCM au Chadema ni kundi linaloendeshwa kwa hiari kwa misingi ya kiitikadi wanayokubaliana wanachama wake na katiba wanayojiwekea. Huitaki unajiondoa na kujiunga kwingine.
Taifa ndio haki yako ya msingi na ndio sehemu ya uhai wako uliyopangiwa na Mungu na unapaswa kuitetea na kuilinda ili iwe imekubalika na wengi.
Sasa ukiona mjinga wa UVCCM anataka kilinganisha uendeshaji wa Chama na Taifa ni wa kumpuuza maana ni mjinga huyo! Na sio ajabu ndio hao wanadanganywa na mwenyekiti wao kuwa eti nchi hii ina akiba ya fedha za kigeni Bilioni 6,230 $ na wao kama mazuzu wanamshangilia.
Oneni vijana wengine wenye akili wanamhoji mama yenu kuwa kama ni hivyo kwa nini tuwe na madeni? Si alipe tuu yote kwa mkupuo mmoja yaishe? Jee sisi kumbe ni matajiri kuliko hata China?
Wakiona katiba ya Chadema nzuri waje wajiunge, kama mbovu wakae huko huko Mbogamboga ujingani Street.
Katiba Mpya hiyo ni sasa na #HATUPOI