Kama kweli hisi tetesi za kumsajili thomas ulimwengu ni za ukweli, basi usajili wa kukurupuka hutoisha.

Kama kweli hisi tetesi za kumsajili thomas ulimwengu ni za ukweli, basi usajili wa kukurupuka hutoisha.

Sasa nyie ambao amkusajili free agent mbona mmepitwa mbali kiubora mzee
Ubora gani
Nipe statistic za CAFCL na msimamo wa club kubwa 50 africa simba na yanga wako nafasi ya ngapi kila timu
 
Mdadhiri -Free agent
Ulimwengu _ free agent
Bigilimana- free agent
Kombole -Free agent
Halafu uto wanatamba et Wana pesa.Hii nchi ni ngumu sana

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hebu tutajie mchezaji hata mmoja wa Simba mliyemnunua kutoka timu nyingine!!. Huo ukubwa mnaosemaga ni upi?

Kapama-30m
Kyombo -30m
Akpan -50m
Okra- 150m
Okwa-100m
Ntibazokiza- 80m
Phiri-200m...
Hapo wote juu= Azizi key 😋
 
Back
Top Bottom