Kama kweli itv inajiendesha kwa hasara, kwann wasiifunge hiyo kampuni

Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
211
Reaction score
594
KKumekuwa na maneno mengi mitandaoni tangu miaka ya 2009 kuwa ITV huwacheleweshea mishahara wafanyakazi wake, mengi kwenye kitabu chake cha I can alisema biashara ya media ina faida ndogo sana, mange kimambi alisema kuwa ITV ina miezi hailipi mishahara coz Hamna kitu (haitengenez pesa ya kutosha)

Ninachoshangaa kama kweli ITV inaleta hasara/haileti faida, kwann wasiifunge hiyo Chanel au waiuze Kwa MTU mwingine
 
Kwa hyo mkuu kuifunga itakuwa ndio solution ama?
Unafaham madhara yatakayojitokeza baada ya kuifunga?
Unafaham ni watu wangapi watapoteza ajira zao?
Na baada ya watu kupoteza ajira zao unafaham ni familia ngapi zitaathirika kwa ndugu zao kukosa ajira?
So unapoongelea ifungwe tu kirahisi rahisi unafananisha na kufunga duka linalouzwa na mtu mmoja.
 
ikifungwa unajua impact kwa taifa na serikali kwa ujumla au unaropoka tu.. 90% tanzania wanategemea taarifa ya habari ya itv saa mbili serikali yenyewe lazima ijue tanzania inaendelaje kupitia chombo cha habari itv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…