Kama kweli Ligi Ya Tanzania ni Bora kuliko Kenya, kwenye mapato kuna vitu tunafichwa!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
IMG_2961.jpeg

Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu.

Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia hela x3 ya hiyo au?
 
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
View attachment 3513285

Milioni 140
 
Hesabu ya B14 umeitoa wapi mkuu?
 
Huku bado kuna makato chungu mbovu hadi chama cha mpira wilaya ya Temeke kina mgao mechi ikipigwa hapo Lupaso!
 
Bado ligi ya Kenya ipo nyuma kimapato. Hata TV rights za timu hizo mbili kubwa hazifikii hata 10% ya Simba na Yanga.
Na mechi ya Derby pekee huwa ipo sponsored na banks kama CRDB au 4K Security, ATCL, NBC etc...
 
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
View attachment 3513285
Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu.

Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia hela x3 ya hiyo au?
Inaonekana hesabu kwako ni mtihani kidogo?
 
Back
Top Bottom