Kama kweli Ludovic ameshiriki kwenye kuandaa fake video basi hii kesi ni ngumu

Kama kweli Ludovic ameshiriki kwenye kuandaa fake video basi hii kesi ni ngumu

Kakende

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,232
Wana JF, kesi inayomkabili Lwakatare haina tofauti na Ludovick. Hukumu atakayopewa Lwakatare lazima pia iwe sawa na Ludovick.

Kama kweli Ludovick katumiwa na mzee wa mipango aitwae Magulu Michembe hapo kazi anayo, maana kumnusuru Ludovick lazima pia umwachie Lwakatare huru la sivyo WATZ hatutaielewa mahakama

Kesi hii inafurahisha, ina alama ya kuuliza kwani kila kosa linaishia na vina kama vya bongo fleva, yaani kila kina kinaishia na neno "UGAIDI". Ukiwa great thinker unaweza kudhani hii kesi ni yakupika
 
kesi hii ni nyepesi sana kutokana na credibility na integrity ya exhibit cha kuokota jalalani ambacho ni contaminated
 
Yes, itatufanya tufahamu nini kilichokuwa kiko ndani ya vichwa vya viongozi wa CHADEMA ambavyo walikuwa wana translate into ACTION kwa njia ya KIJASUSI.
 
Jakaya katuletea Chama cha Wauaji Chadema, Jakaya nenda zako tuletee Rais kama Mkapa atuondolee Polis jamii inayowalea lea hawa mafedhuli
 
Hii ni kesi rahisi sana, imejaa matundu right on start. Hata hivyo Matarajio yote mawili yaani, kujua plot hii kabla au kutojua kwa moja au wote lwaka na ludo hakitaathiri cdm bali kitakipaisha sana na kuangamiza upande ule mwingine. Kumbuka hii video imekwisha toa somo kuwa hata zile nyingine zilizoko kibindoni ambazo ndio zingeimarisha lengo ya hii ya mwanzo ambayo bila shaka ingewaonyesha viongozi wakuu wa cdm wakimpa maagizo lwaka au ludo maagizo ya kinachoitwa kwenda kutekeleza ugaidi sasa sidhani kama zitatoka kuja kukabiliana na hz critics. Itaishia as flopped `covert operation' with a lot of negative effects to perpetrators. Kwa nchi zetu njia hizi bado sana kufanyika bila kuacha matundu (clean and water tight excution) so manguvu ya vyombo vya dola ndio hutumika zaidi.
 
Back
Top Bottom