Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,232
Wana JF, kesi inayomkabili Lwakatare haina tofauti na Ludovick. Hukumu atakayopewa Lwakatare lazima pia iwe sawa na Ludovick.
Kama kweli Ludovick katumiwa na mzee wa mipango aitwae Magulu Michembe hapo kazi anayo, maana kumnusuru Ludovick lazima pia umwachie Lwakatare huru la sivyo WATZ hatutaielewa mahakama
Kesi hii inafurahisha, ina alama ya kuuliza kwani kila kosa linaishia na vina kama vya bongo fleva, yaani kila kina kinaishia na neno "UGAIDI". Ukiwa great thinker unaweza kudhani hii kesi ni yakupika