Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Sasa kazi itafanyikaje kukiwa kumegawanyika!Wajiuzuru uchaguzi ufanyike upya!View attachment 3600265
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko nya yake, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo.
Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofannya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Jaribuni
Swali langu ni hili. Nani alimtoa kwa akina Gaucho na kumuweka kwenye umakamu?Kama jiwe alitembea.... !!!!
Hakukuwa na mtu mwingine ulitaka mwigulu ndo akalie kiti?Swali langu ni hili. Nani alimtoa kwa akina Gaucho na kumuweka kwenye umakamu?
Mwigulu ndiye aliyemtoa kwa akina Gaucho na kumpa umakamu?Hakukuwa na mtu mwingine ulitaka mwigulu ndo akalie kiti?
Swali juu ya swali!Mwigulu ndiye aliyemtoa kwa akina Gaucho na kumpa umakamu?
Kwa sababu jibu halijajibu swaliSwali juu ya swali!
Mtakesha mnaswalikana!Kwa sababu jibu halijajibu swali
Basi ngoja nikaushe!Mtakesha mnaswalikana!
Wewe fala unamtisha nani?? Utafanya nn?? Hayo maswali ni endapo ni kweli ila kwa kawaida yenu kutengeneza drama safari hii wanamtandao tu.ewashtukiaView attachment 3600265
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko nya yake, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo.
Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofannya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Jaribuni
Ni mbunge wa CCM akasema ni Yudachadema msitengeneze mnyukano ndani ya serikali
sasa kwa nini chadema wanarudiarudiaNi mbunge wa CCM akasema ni Yuda
Kwa sababu Nchimbi ni Mtanganyika mwenzao.sasa kwa nini chadema wanarudiarudia
useless πView attachment 3600265
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko nya yake, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo.
Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofannya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Jaribuni
Hawezi kushambuliwa bilashiView attachment 3600265

Hata Mbowe chadema sijasijia anakemea.. Siwezi kukubali auawe kisa hajakrmea.. Ukweli ni kaonesha kuumizwa na Oktoba. Hajaunga mkono pia.. Mbona Kikwete hajakemei na hawataki kumuua..Nchi keshawahi kukemea mauaji yaliyofanywa na bosi wake?
ππππAguswe mara ngapi sasa ,sisi tumeambiwa ni yuda,ππkwishinei
Yeye mwenyewe ni opportunist tu Hana loloteSijaona chochote anachofanya/alichofanya Nchimbi kuwa tofauti na hao CCM wengine.
hivyo vimanenoneno vya hapa na pale havitoshi kumpambanue yeye na hao CCM wengine..
Akitoka leo na kusimama mbele ya umati wa watu na kuzungumzia maswala muhimu kama katiba na chaguzi huru na za haki, hata mimi leo leo nitaanza kumhesabu katika hilo kundi unalomweka wewe.
hadi hapa sijaona lolote la kumtofautisha na hao wengine.
Yumo kwenye kundi la waovu, na anafaidika na matunda ya uovu ndani ya serikali haramu.
Naye ni sehemu ya tatizo kwa waTanzania kwa sasa hivi.