Kama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi

Kama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi

Who cares?

Kwani huyo Nchimbi hakuhusika na mauaji ya Oktoba 29?

Lini amepinga hicho kilichotokea?

Halafu na yeye ni batili tu. Hakuna aliyemchagua awe makamu wa Rais.

Baadhi ya nyie watu hamjielewi kabisa.

Mnawapenda CCM na kuwataka wawatawale au?

Too many imbeciles in this country.
Kwa kweli 🙌😄
 
Hoja ni kupinga kuua watu na kuwapoteza bila kufuata sheria.. Wasimteke, kumuua wala kumpa sumu.. Though Nchimbi hakuwa na Mamlaka yoyote kipindi hicho.. Alikuwa kama wana ccm wengine.

Siwezi kukubali kuona Watanganyika wananyanyaswa au kuuliwa hata kama ni itikadi tofauti.
Kama hakuwahi kuwa na nguvu baada ya kupata hiyo nguvu ameshawahi kufanya jambo lipi linalo Pinga uovu unaofanywa na serikali yake ili kuwaonyesha watanzania kwamba anapinga ufedhuli na ushetani unao fanywa na wenzanke ndani ya chama chake

Kama hakuwahi kufanya hivyo tafsiri ni kwamba yeye mwenyewe pia ni sehemu ya hao washenzi kwanza hayo Madaraka ameyapata kwaajili ya vitendo hivyo hivyo vya kishenzi kama ni mtu smart kwanini akubali kukaa madarakani Kwa gharama ya damu ya watanzania!?

Huyo mwenyewe na yeye ni wale wale tu

Acha samuya amshughulikie Binafsi I'm so happy 😄😄😄
 
View attachment 3600265

Salaam Wakuu,

Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi.

Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..

Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..

Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.

Watanganyika tuko nya yake, na tumeona figisu zenu zimeanza..

Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo.
Kaa kimya kama kawaida yako.

Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..

Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..

Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.

Baada ya kufanya mliyofannya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Jaribuni
Wamuue tu mbona Magufuli waliweza, wafanye kweli nchi ichangamke kidogo.
 
Wabongo bana, anaweza kutekwa na kuchinjwa na hamna kitakachotokea maisha yataendelea tu, mbongo akikwambia nipo nyuma yako we geuka mara kwa mara kama utamkuta. Watasema ooh hapatakalika then abduli na mafwele wakifanya yao pataendelea kukalika tu na tutakuja kucomment jf maisha yanaendelea. Na chawa wanaosema agenda ni John watageuka hapa tutasikia mengine kama kawa.

Zamani walikuwa wanaita mikwara mbuzi ndio hiyo Sasa
😂😂😂😁
 
Kwa akili yako nani hata ng'ata kwenye familia yenu?
Umesema hatoguswa na mtu 🤣

Ndio nimekujibu atang'ata shuka so usimjaze ujinga watu kama wameweza kumlipua vile bungeni huoni kuwa hao watu they have nothing to fear na wamejipanga

Humu Huwa mnajazana sana ujinga sometimes
 
View attachment 3600265

Salaam Wakuu,

Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi.

Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..

Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..

Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.

Watanganyika tuko nya yake, na tumeona figisu zenu zimeanza..

Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo.
Kaa kimya kama kawaida yako.

Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..

Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..

Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.

Baada ya kufanya mliyofannya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Jaribuni
Episode one, part one. Picha ndiyo kwanza linaanza.
 
So tukae kimya wafanye watakavyo? Nchimbi unamuona Mnyonge.. Nje ya uongozi, kati ya Samia na Nchimbi nani mnyonge. Wavue vyeo vyao.
Yeye kwanini awe katika hiyo circle ya uovu !? Ndio mpaka uwatoe nje ya uongozi Sasa kitu ambacho ni Myth for now , watu mpaka wana kumlipua bungeni it means wanaona wana kumudu isingekuwa hivyo wangekuwa wanafanya mambo Yao kimya kimya cause wangekuwa wana hofu influence Yako inaweza kuleta matatizo makubwa , so statement it's something kind a warning so ajiandae
 
Back
Top Bottom