Kama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi

Hii karat inavyochezwa wee huwezi jua iko hivi.
Huyu jamaa kaambiwa ajitenge fulani kama vile kasaliti ili kurudisha watanzania pamoja upepi uelekee kwake mama asahahulike mabaya yake maana ji muhulq wake wa mwisho akistaafu hamna shida .kazi iliopo ji kuhakikisha anafanya kazi kama hafungamani na mama ili kufanikisha jambo fulani maana watanzania mpaka sasa ccm haijui itaanzia wapi 2030 kazi itakua ngumu mno
You are making a lot of sense!
 
i na mama ili kufanikisha jambo fulani maana watanzania mpaka sasa ccm haijui itaanzia wapi 2030 kazi itakua ngumu mno
Kwani Samia alianzia wapi mkuu. Huoni yupo tu anadunda?

haya mambo mengine tunayafanya yaonekane magumu wakati sote tunajuwa hayana ugumu wowote mbele ya CCM.
CCM inashindwa kitu gani inachokitaka kukifanya ndani ya taifa hili kwa hali ilivyo sasa?

Si unaona hata kuua wameua kabisa, na bado wanaendelea kudai kuwa na uhalali wa kuongoza taifa hili!
 
View attachment 3600265

Salaam Wakuu,

Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.

Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..

Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..

Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.

Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..

Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.

Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..

Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..

Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.

Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni
Hivi nchi hii tutafika salama kweli? Kwanini viongozi wakuu watofautiane hadi umma umejua?
 
mpaka sasa ccm haijui itaanzia wapi 2030 kazi itakua ngumu mno
We ndo hujui ccm itaanzia wapi, ila sie kama ccm pakuanzia tunapafahamu, baada ya uchaguzi mkuu, hapa katikati zimefanyika chaguzi ndogo za kupata wabunge na madiwani then leo useme ccm haijui pa kuanzia?
 
View attachment 3600265

Salaam Wakuu,

Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.

Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..

Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..

Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.

Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..

Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.

Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..

Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..

Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.

Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni
Polepole inauma sana aisee.

Lakini maccm ni zaidi ya mafisi. Hayajali
 
Washamgusa Sasa! Unasemaje?
 
Kumwondoa mtu ni dalili ya kumwogopa hakuna mtu anayeweza kumtoa mtu ambae sio threat kwake.Kumbuka huyu anawatu wengi nyuma yake hivyo wanatengeneza mpasuko na mwisho chama kitaanguka
 
View attachment 3600265

Salaam Wakuu,

Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.

Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..

Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..

Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.

Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..

Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.

Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..

Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..

Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.

Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni
Huyo Ndubwi na mimacho yake wamemtoa sasa
Endelea na tilalila zako
 
Back
Top Bottom