Kama kweli mnajipima na Simba kama njia ya kumtoa Club Africaine njia ni moja tu

Burungutu sandawesu

Senior Member
Joined
Sep 11, 2022
Posts
153
Reaction score
261
Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja.

Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.

Screenshot_20221021-212626_Instagram.jpg
 
Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja.

Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.

View attachment 2394058
kama mambo yao ndio haya YANGA wasahau kuhusu CAF miaka 25 ijayo
 
Bila huyo watapita geti lisilo rasmi, uto akili zao bado ni za enzi za mawe.
 
Safari hii utopolo atachapika ipo wazi kabisa yetu macho!
 
Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja.

Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.

View attachment 2394058
Umeambiwa Makolo wanacheza mpira wa kawaida na sio uchawi...??? Basi aliyekumbia kakudanganya... Hao Makolo ndio wachawi kwelikweli
 
Bila huyo watapita geti lisilo rasmi, uto akili zao bado ni za enzi za mawe.
Simba ndio timu inayo tambuliwa Kwa uchawi barani Afrika wamesha tandikwa adhabu ya Dola 20,000/= Kwa mambo ya kichawi viwanjani
 
Hawa watu wa shida mpaka basi! Mechi na Platinum ya Zimbabwe waliingia na paka mkubwa uwanjani!

Mechi na Orlando Pirates ya Afrika ya Kusini walitozwa faini ya dola 10000 kwa kufanya vitendo vya kishirikina uwanjani!

Halafu leo eti wanaiogopa Yanga kwa ushirikina! Yaani wanafungwa magoli halali uwanjani, halafu wanaleta porojo za ushirikina!!
 
Wapi Simba ilipigwa faini South Africa kwa kosa la uchawi? Kosa lilikuwa ni kuwasha moto tu.Kama mnajiamini mpite geti la kawaida tuone sasa
 
Kwa hiyo ni halali kabisa kuwa na ustadh mchawi kisa simba aliwasha moto uwanjani.. sasa huyo ustadh mchawi mnajua kwa nini hawezi hawezi kuwasaidia kimataifa..sasa subirini club africaine atachowafanya
 
Haahhaah wanawaambia nini utopooloo thubutuu hawaiwezi Simba bila uchawi. Ila kesho uchawi wao hautafanya kazi. Rejea mwenye akili namba moja utopoloni mzee JK alivyowapa ushauri na hawamsikilizi.
 
Back
Top Bottom