Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
kama mambo yao ndio haya YANGA wasahau kuhusu CAF miaka 25 ijayoKuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja.
Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.
View attachment 2394058
Umeambiwa Makolo wanacheza mpira wa kawaida na sio uchawi...??? Basi aliyekumbia kakudanganya... Hao Makolo ndio wachawi kwelikweliKuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja.
Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.
View attachment 2394058
Simba ndio timu inayo tambuliwa Kwa uchawi barani Afrika wamesha tandikwa adhabu ya Dola 20,000/= Kwa mambo ya kichawi viwanjaniBila huyo watapita geti lisilo rasmi, uto akili zao bado ni za enzi za mawe.
Hawa watu wa shida mpaka basi! Mechi na Platinum ya Zimbabwe waliingia na paka mkubwa uwanjani!Simba ndio timu inayo tambuliwa Kwa uchawi barani Afrika wamesha tandikwa adhabu ya Dola 20,000/= Kwa mambo ya kichawi viwanjani
Kwa hiyo ni halali kabisa kuwa na ustadh mchawi kisa simba aliwasha moto uwanjani.. sasa huyo ustadh mchawi mnajua kwa nini hawezi hawezi kuwasaidia kimataifa..sasa subirini club africaine atachowafanyaWapi Simba ilipigwa faini South Africa kwa kosa la uchawi? Kosa lilikuwa ni kuwasha moto tu.Kama mnajiamini mpite geti la kawaida tuone sasa