Kama kweli mnapenda basi Mshaurini Rais anazidi kuacha barabara

Kama kweli mnapenda basi Mshaurini Rais anazidi kuacha barabara

We mbwa koko ndio waziri wa fedha? Acha ushambenga, Rais siku akipokea mgawo wa hisa sasa hivi tunalazimishiwa kukopa baada ya nchi kuwa ktk hali nzuri kiuchumi we hayo matope yako umeyatoa wapi. Nchi iko vizuri sana na iko mikononi mwa mtu sahihi mwenye akili nyingi siyo porojo. Kila kitu kinaenda vizuri unatuletea matope yako hapa? Uwe na adabu we mbwa
🤣 🤣 🤣 🔊 Mkuu matusi ya nini? Ama kweli, ukweli wauma!!
 
We mbwa koko ndio waziri wa fedha? Acha ushambenga, Rais siku akipokea mgawo wa hisa sasa hivi tunalazimishiwa kukopa baada ya nchi kuwa ktk hali nzuri kiuchumi we hayo matope yako umeyatoa wapi. Nchi iko vizuri sana na iko mikononi mwa mtu sahihi mwenye akili nyingi siyo porojo. Kila kitu kinaenda vizuri unatuletea matope yako hapa? Uwe na adabu we mbwa
Umewahi kuugua uchizi ?
 
Yaliyo andikwa hapo ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu pekee, sasa kwakua hauna akili timamu nikushauri tuu nenda kwenye nyuzi za udaku zitakufaa sana
 
Alafu mods kujikuta mmekua wajuaji sana hadi kubadilisha kichwa cha habari kama vile nyie ndio mlioandika ni upuuzi huo, acheni mambo ya ajabu
 
Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa ovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu" alimjibu kwa hasira na mipasho kwamba lazima tutakopa sana tuu, na hakuishia hapo kila mmoja anajua kama ni yeye alie sababisha jamaa yule aliejinadi alifika mahali ambako "yesu" alitembea na "mke" wake akajiuzulu

kinacho endelea nchini kimefanya kua vigumu kupata mikopo na misaada "mama yenu" badala ya kuchutama na kuangalia ni wapi alijikwaa anakuja na kichekesho bora kabisa duniani kwa mwaka huu eti "uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na marekani" hiki kichekesho hata maiti ikisikia inaweza kucheka hadi "kujamba" yani katika kipindi hiki ambacho anakopa kupita kiasi anapewa misaada kupita kiasi ndio anatuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko marekani na ulaya?

Aliekua "sabufa wa bonge" alihoji kwa nini tusifunge mkanda tukajibana bana humu humu ili tufanye mambo kwa pesa zetu wenyewe likawa ni kosa "mama yenu" akamfanyia figisu hatimae akajiuzulu bila kupenda, haya Sasa hivi ameona mambo yamekua mchafu koge ameaua kukubaliana na "sabufa wa bonge" kimtindo

Kama mnapenda sana "mama yenu" muambieni ukweli kwamba ameacha njia ameingia porini na sisi hatumchukii hata kidogo lakini hatupendi mambo ya hovyo anayofanya, kama anataka hizi kelele zoote zimalizike muambieni arudi barabarani, ashindane mbio akiwa barabarani ili tujue kama kweli ana kasi kama anavyo jisifu

Du hawa DW kiboko
 
Back
Top Bottom