Ile ilikuwa dharau kubwa mno sio sahihi kumwambia professional player maneno kama yale!!??Chama kaondoka aisee,pia dharau za Mo kwny Instagram Ile siku ukute imechangia pia Chama kuondoka.
Mkuu hata Kama mpira Ni biashara, Sasa tunauza key players kwa wakati mmoja? Nimesikitishwa.Ile ilikuwa dharau kubwa mno sio sahihi kumwambia professional player maneno kama yale!!??
yale maneno yanatakiwa yaishie kwa mabeck tatu
Chama ana 30 teyari,,..Mkuu hata Kama mpira Ni biashara,Sasa tunauza key players kwa wakati mmoja?nimesikitishwa.
Kwani unamlipa wewe?Hamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Hizi kauli ni za kijinga sana, kwahiyo kwakuwa shabiki hamlipi mchezaji basi hana haki ya kumzungumzia? Daah
Hamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Hutakiwi kujua dau lilitolewa Ili siku zote uendelee kuamini kuwa Pale Simba Sc hakuna faida yoyote inayopatikana zaidi ya hisani tu inazopokea.Kama tumemuuza kwa TZS. 1.5bil. kwenye hayo mauzo Serikali yetu itajipatia TZS. 228.8 mil.!
Yaah pale simba hatupati faida kabisa kwenye uendeshajiHutakiwi kujua dau lilitolewa Ili siku zote uendelee kuamini kuwa Pale Simba Sc hakuna faida yoyote inayopatikana zaidi ya hisani tu inazopokea.
Kwahiyo hukutaka Ajib, mtanzania mwenzako apate ajira?Nacheka kama mazuri, ila SIMBA SC kuuza key players wawili kwa wakati mmoja bila kujua uwezo wa tuliowasajili, katika kuziba pengo ni ujinga mkubwa...
Simba ikipata faida, wewe binafsi unanufaika na chochote?Yaah pale simba hatupati faida kabisa kwenye uendeshaji
Inashangaza sana....Hiyo klub ni ya Muddy wewe unaumia nini kuna ulivhochangia