Kama kweli Mo Dewji kamuuza Chama katukwaza wana Simba

Kama kweli Mo Dewji kamuuza Chama katukwaza wana Simba

Mimi swezi lalamika coz bado sjaona pengo la chama wala miquesson nasubri ligi ianze pengo lao likionekana basi ndo ntalalaika ila so kwa wao kuuzwa ntalalamika kwa kushindwa kuziba hilo pengo.
 
Mimi swezi lalamika coz bado sjaona pengo la chama wala miquesson nasubri ligi ianze pengo lao likionekana basi ndo ntalalaika ila so kwa wao kuuzwa ntalalamika kwa kushindwa kuziba hilo pengo.
Angalia mech ambazo chama hayupo au mechi ambazo chams amechemka, unaona kbs jins timu inavohaha. Na tunashinda kwa mbinde sn. Chama ni mchezaji muhimu sn simba hawakupaswa kumuuza
 
Utopolo mtalia sana. Na Bado.
Na hapo hamjaanza kudondosha point.
Utopolo kila mkilala mnamuota Mo. Na chawa lenu halipo siku hizi mtakua mnashangaa na surprise tu.

FB_IMG_1628837625214.jpg
 
Angalia mech ambazo chama hayupo au mechi ambazo chams amechemka, unaona kbs jins timu inavohaha. Na tunashinda kwa mbinde sn. Chama ni mchezaji muhimu sn simba hawakupaswa kumuuza
Najua ila kipindi hicho alikuwepo simba.
Mm nasubiri kipindi hiki akiwa kauzwa kama pengo lake litaonekana namanisha kama hawatafnya replacement yake kusajiri fasta hapo ndo ntalalamika simba niteam kubwa kuuza nikawaida lakin pia lazma ifnye replacement ya waliemtoa wasipo fanya ndo ntalalamika why?
 
Kwa taarifa yako Clatous Chama yuko Morocco na wenzake wanajifua tayari kwa msimu ujao. We endelea kuchafukwa nyongo kwa unazi wa kijinga wa Utopolo.

Mwaka jana tulioneshwa picha kavaa jezi ya vyura...
So msemaji wenu kamimina kaudanganya kwa kutoa taarifa za kuuzwa chama!?

FB_IMG_1628837625214.jpg
 
Najua ila kipindi hicho alikuwepo simba.
Mm nasubiri kipindi hiki akiwa kauzwa kama pengo lake litaonekana namanisha kama hawatafnya replacement yake kusajiri fasta hapo ndo ntalalamika simba niteam kubwa kuuza nikawaida lakin pia lazma ifnye replacement ya waliemtoa wasipo fanya ndo ntalalamika why?
Haya tusubiri tuone huyo replacement ya chama
 
Unaposema Ajib ni mbadala wa Chama ndipo nilipokushangaa. Maana Chama akiwepo, Ajib pia alikuwepo. Ingekuwa vyema unaulizia mbadala wa Chama ni nani badala ya kushangaa Ajibu kubatizwa Simba wakati Chama ameuzwa...
Mkuu wewe si umekataa kuwa Chama hajauzwa? Tena ukasema hizo ni kelele za Chama kuondoka ni mbwembwe za Utopolo, eti wameedit jersey maana eti hata msimu iliopita uliona kavalishwa jersey za Yanga😂.

Nilishaamua kukubaliana na wewe kuwa Chama hajauzwa na atakuwepo msimu ujao,hivyo sina cha kujadili na wewe.
 
Unaumia nn? Simba ni Mali ya MeTl chini ya Mo dewj aka kabachori.

Unaumia kwani unamlipa mshahara wewe? Simba ilishauzwa ni Mali ya wahindi acha waamue wanavojiskia kwasababu wanatumua pesa zao
 
Mkuu wewe si umekataa kuwa Chama hajauzwa? Tena ukasema hizo ni kelele za Chama kuondoka ni mbwembwe za Utopolo, eti wameedit jersey maana eti hata msimu iliopita uliona kavalishwa jersey za Yanga😂.

Nilishaamua kukubaliana na wewe kuwa Chama hajauzwa na atakuwepo msimu ujao,hivyo sina cha kujadili na wewe.
Katiba inakuruhusu...
 
Mudy kazingua sana,unauza Chama,harafu unamuongezea mkataba Ajibu...
 
Katiba inakuruhusu...
Kwahiyo kwasababu katiba inaruhusu ndo ukaamua kupinga kwa kuniita mjinga huku ukidai umemuona Morocco anakunywa chai ya na wachezaji wenzake wa Simba Sc sio? Nadhani Sasa mjinga halisi kapatikana.
 
Kwahiyo kwasababu katiba inaruhusu ndo ukaamua kupinga kwa kuniita mjinga huku ukidai umemuona Morocco anakunywa chai ya na wachezaji wenzake wa Simba Sc sio? Nadhani Sasa mjinga halisi kapatikana.
Nioneshe nilipokuita "mjinga"...

Kama hakuna sehemu niliyokuita hivyo, basi labda ulikuwa na lengo la kunifahanisha wewe ni nani...
 
nilivyo lia baada ya kumpoteza baba angu mzazi sijawahi kuwa na machozi ya kiboya kwa mleta mada
 
Hutakiwi kujua dau lilitolewa Ili siku zote uendelee kuamini kuwa Pale Simba Sc hakuna faida yoyote inayopatikana zaidi ya hisani tu inazopokea.
Lakini si mlisema kila kitu mmemwachia Mo ispokuwa tu nyie mashabiki mnataka furaha ya kushinda mechi, sasa mnalalamika nini?
 
Unakaata vipi bilioni 1.5?

Chama sio malaika japo kina game zake alikuwa moto, Simba SC ilikuwepo, ipo, na itaendelea kuwepo, Chama kabla hajaj Simba nani alikuwa akimfahamu?

Naamini atakuja mwingine bora au zaidi ya Chama, Simba Nguvu moja.
 
Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu.

Mo sijui umetutendea haki, nimetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi.

Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Tuanze hv...

Hive fikiri chama angekua baba ako au kaka ako...ungefurahi viongozi wasimba kumzuia asinde kulipwa milion 30 kutoka kulipwa milioni 10?

Pili fikiria mpira ulivyo...hata kule ulaya kuna team hua zinatamani kuwakeep wachezaji but magiant wa fedha wakisema utamwachia tu..

Tatu chacha mkataba unaisha 2022 utadhani simba ingeweza pata doll laki 5 mwakani? wakati huna mkataba na mchezaji?

nne huwezi shindana na wenye hela..

All in all tuvumilie kama alivyo ondoka Okwi next week tusikie vyuma vipya.
 
Nenda kamsome edo kumwembe kaandika vixuri Sana watu wa dizaini yako
 
Back
Top Bottom