Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Mimi swezi lalamika coz bado sjaona pengo la chama wala miquesson nasubri ligi ianze pengo lao likionekana basi ndo ntalalaika ila so kwa wao kuuzwa ntalalamika kwa kushindwa kuziba hilo pengo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia mech ambazo chama hayupo au mechi ambazo chams amechemka, unaona kbs jins timu inavohaha. Na tunashinda kwa mbinde sn. Chama ni mchezaji muhimu sn simba hawakupaswa kumuuzaMimi swezi lalamika coz bado sjaona pengo la chama wala miquesson nasubri ligi ianze pengo lao likionekana basi ndo ntalalaika ila so kwa wao kuuzwa ntalalamika kwa kushindwa kuziba hilo pengo.
Utopolo mtalia sana. Na Bado.
Na hapo hamjaanza kudondosha point.
Utopolo kila mkilala mnamuota Mo. Na chawa lenu halipo siku hizi mtakua mnashangaa na surprise tu.
Najua ila kipindi hicho alikuwepo simba.Angalia mech ambazo chama hayupo au mechi ambazo chams amechemka, unaona kbs jins timu inavohaha. Na tunashinda kwa mbinde sn. Chama ni mchezaji muhimu sn simba hawakupaswa kumuuza
So msemaji wenu kamimina kaudanganya kwa kutoa taarifa za kuuzwa chama!?Kwa taarifa yako Clatous Chama yuko Morocco na wenzake wanajifua tayari kwa msimu ujao. We endelea kuchafukwa nyongo kwa unazi wa kijinga wa Utopolo.
Mwaka jana tulioneshwa picha kavaa jezi ya vyura...
Haya tusubiri tuone huyo replacement ya chamaNajua ila kipindi hicho alikuwepo simba.
Mm nasubiri kipindi hiki akiwa kauzwa kama pengo lake litaonekana namanisha kama hawatafnya replacement yake kusajiri fasta hapo ndo ntalalamika simba niteam kubwa kuuza nikawaida lakin pia lazma ifnye replacement ya waliemtoa wasipo fanya ndo ntalalamika why?
Mkuu wewe si umekataa kuwa Chama hajauzwa? Tena ukasema hizo ni kelele za Chama kuondoka ni mbwembwe za Utopolo, eti wameedit jersey maana eti hata msimu iliopita uliona kavalishwa jersey za Yanga😂.Unaposema Ajib ni mbadala wa Chama ndipo nilipokushangaa. Maana Chama akiwepo, Ajib pia alikuwepo. Ingekuwa vyema unaulizia mbadala wa Chama ni nani badala ya kushangaa Ajibu kubatizwa Simba wakati Chama ameuzwa...
Katiba inakuruhusu...Mkuu wewe si umekataa kuwa Chama hajauzwa? Tena ukasema hizo ni kelele za Chama kuondoka ni mbwembwe za Utopolo, eti wameedit jersey maana eti hata msimu iliopita uliona kavalishwa jersey za Yanga😂.
Nilishaamua kukubaliana na wewe kuwa Chama hajauzwa na atakuwepo msimu ujao,hivyo sina cha kujadili na wewe.
Huko kidimbwini hamajambo?...Auzwe tu huyo chama coz hana msaada wowote kwenye timu yetu,
Kwahiyo kwasababu katiba inaruhusu ndo ukaamua kupinga kwa kuniita mjinga huku ukidai umemuona Morocco anakunywa chai ya na wachezaji wenzake wa Simba Sc sio? Nadhani Sasa mjinga halisi kapatikana.Katiba inakuruhusu...
Nioneshe nilipokuita "mjinga"...Kwahiyo kwasababu katiba inaruhusu ndo ukaamua kupinga kwa kuniita mjinga huku ukidai umemuona Morocco anakunywa chai ya na wachezaji wenzake wa Simba Sc sio? Nadhani Sasa mjinga halisi kapatikana.
Lakini si mlisema kila kitu mmemwachia Mo ispokuwa tu nyie mashabiki mnataka furaha ya kushinda mechi, sasa mnalalamika nini?Hutakiwi kujua dau lilitolewa Ili siku zote uendelee kuamini kuwa Pale Simba Sc hakuna faida yoyote inayopatikana zaidi ya hisani tu inazopokea.
Kama mchezaji anabishana na Bosi mtandaoni, anauzwa tu, na ndio tulivyoamua kama timuHuko kidimbwini hamajambo?...
Tuanze hv...Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu.
Mo sijui umetutendea haki, nimetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi.
Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee