Pre GE2025 Kama kweli namba hazidanganyi, basi CHADEMA inaweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu asubuhi kabla ya misa ya kwanza. Hizi hapa tafiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umaarufu wa sasa wa CDM hauzidi ule 2020na kurudi nyuma.
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi
Tume hii hii ya uchaguzi, hata ule uchaguzi uliowapeleka wabunge wengi wa upinzani bungeni tume ilikua hii hii... sitaki kuzungumzia reform maana kwangu ni merely a myth kwa utawala huu wa CCM...
 
CCM WANAO UWEZO WA KUSHINDA URAISI KWA MIAKA HATA 100 MFULULIZO.
Yes... sababu wamejenga mfumo wa miaka dahari. So na Chadema inawezekana kabisa ikachenga mfumo taratibu, mwaka huu wakawa na focus ya wabunge zaidi wakijua urais haiwezekani.. Lakini pia lolote laweza tokea. Kumbuka Mwl. Nyerere aliwahi sema MPINZANI WA KWELI ATATOKA NDANI YA CCM... Chukua hili..
 
Kuna mengi ya kuandika sio kupoteza muda ukisubiri ccm ambayo inamuandaa quailah wa shetta kuwa kiongozi wa kitaifa akiwa na umri wa miaka 10 ,ccm ni dude kubwa sana linamizizi mpaka chumbani kwako.
Hakuna utawala wa kudumu duniani. Ni mpinzania kucheza na akili tu!
 
Mchawi ni hii Tume ya Uchaguzi na hawa TISS.

Ila TISS wakiamua kuacha kuwa makondoo wa CCM mbona asubuhi na mapema LISSU anaapishwa na tunakuwa na bunge bora kabisa Afrika.
 
Utafiti haufanywi hivyo bro,labda kama unaota ndoto za alinacha
 
Hua we unafanyaje Masta?
bro utafiti ni taaluma ambayo ina vigezo vyake,labda wewe useme kwa makisio yako unadhani itakuwa hivi? utafiti ni lazima uandae timu,uandae hoja ya kutafitiwa,uandae hojaji,uandae watu,uandae eneo la utafiti,uandae muda wa utafiti,utafiti ufanywe,wataalamu waandae taarifa,taarifa itolewe,sasa huo ndio utafiti
 
Kuna mengi ya kuandika sio kupoteza muda ukisubiri ccm ambayo inamuandaa quailah wa shetta kuwa kiongozi wa kitaifa akiwa na umri wa miaka 10 ,ccm ni dude kubwa sana linamizizi mpaka chumbani kwako.
Mtaa unajenga zaidi
 
Masta nakuona wewe ni msomi sana Masta... Lakini nakukumbusha tu hapa hatuna utafiti wa presentation masta. Hapa ni general utafiti wa mitandaoni, sio wa rewards masta...
 
Ku
Kuna mengi ya kuandika sio kupoteza muda ukisubiri ccm ambayo inamuandaa quailah wa shetta kuwa kiongozi wa kitaifa akiwa na umri wa miaka 10 ,ccm ni dude kubwa sana linamizizi mpaka chumbani kwako.
Kuna kauli ambazo wanasiasa huwa wanaongea halafu wanakuja zijutia baadae. Weka akiba ya maneno. Muda huwa unaongea kwa sauti kubwa sana
 
Masta nakuona wewe ni msomi sana Masta... Lakini nakukumbusha tu hapa hatuna utafiti wa presentation masta. Hapa ni general utafiti wa mitandaoni, sio wa rewards masta...
sawa hivyo usiseme huo ni utafiti useme haya ni makisio tu,ili kulinda maana halisi ya utafiti na sio vibaya kusema kuwa haya ni makisio yangu na hata kwenye taaluma ya utafiti makisio hupokelewa
 
sawa hivyo usiseme huo ni utafiti useme haya ni makisio tu,ili kulinda maana halisi ya utafiti na sio vibaya kusema kuwa haya ni makisio yangu na hata kwenye taaluma ya utafiti makisio hupokelewa
Masta naamini umemaliza sekondari hivi karibuni au unasubiri matokeo ya leo ya form four. Maana ubishi unaoleta masta hauna mantiki. Hiyo ni debate ya education is better than money masta.

Nakupa ushindi masta...
 
Mkuu bila Mungu kumtosa Farao na Majeshi yake baharini hilo sahau!
 
Hali ngumu ya maisha kwa Wananchi wengi.
 
Thread closed nyuzi zingine zinajaza tu saver CCM haitakaa ibanduke waache kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…