Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Ajabu mkiambiwa Israel bila Marekani mweupe kabisa hata wanangu wa 92 hapa ngerengere wanawafyeka mnabisha, wakat wenyewe mnasema Mmarekani kafika kutoa msaada kumkinga mwana mpendwa asipondwe na Muajemi
Mmarekani kafunga mifumo yake jana, na leo asubuhi Israel na mifumo yake kabondwa. Drone ya hezbulah ambayo ni chapa ya Iran imeingia katika kambi ya jeshi na kuangamiza wanajeshi kibao, huku wengine wengi wakijeruhiwa. Muajemi apewe heshima yake na Netanyahu haraka sana. Bila hivyo watamalizwa.
 
Huu ushauri wako ni mzuri sana. Na kama kuna myahudi mwenye kuelewa kiswahili humu (wale wayahudi wa kazilamimba) wangempelekea Netanyahu huu ushauri wako umsaidie. Akiendelea kukaidi jeshi lake na wananchi wake wataisha hivi hivi kimzaa mzaa.
 
Naona umesoma ili ujibu sio ili uelewe. Mwambie atoke huko mafichoni akutane na myahudi Netanyahu. Ayatula kajichimbia mafichoni
Wewe endelea kutetea ujinga huku waisrael wenzako huko walipo wanaisha. Ayatollah na raia wake wanalala usingizi mzuri, kwake hakuna vita wala mwenye mawazo yoyote ya kumuanzishia vita.

Wakati Netanyahu na genge lake kila siku wanaishi maisha ya kukimbia na kukwepa kwepa makombora. Huko kwa Ayatollah watu hawajawahi kusikia ata mlio wa baruti ya kibiriti. Israel ndio nchi inayoongoza kuwa na mahandaki, hospital na kambi za jeshi za chini ya mahandaki. Na hii yote ni kwa sababu ya kukwepa kipigo cha Iran. Lakini hiyo yote haisaidii bado Ayatollah akiwataka anawafuata huko huko chini ya mahandaki yao na kuwachapa sawa sawa hadi watie akili 😂😂

Angalia tukio lililotokea leo asubuhi, huku Marekani akiwa imejifanya kufunga mifumo ya ulinzi jana. Mpaka hapa Netanyahu anapigiwa kwake kila siku huku Ayatollah akishinda nyumbani kwake anakula tende na kutoa order kwa vijana wake wa hezbulah. Kwao Iran watu wasikio baridi kabisa. Watu wanaendelea na shughuli zao na hakuna anaeshinda na kulala chini ya handaki 😂😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-110407.jpg
    372.6 KB · Views: 2
Hivi unadhani wayahudi wanaswali mara tano kwa siku ? Wayahudi wanawakazania watoto madrasa na kutowapeleka shule ?
 
Wavaa kobaz hawataki kuambiwa ukweli kuwa hamas, iran ni magaidi.

Na ili dunia iwe na amani wapumbavu hawa lazima waondolewe

Na bado trump anakuja , watajikojolea hawa , we tulia
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-110407.jpg
    372.6 KB · Views: 2
Hivi unadhani wayahudi wanaswali mara tano kwa siku ? Wayahudi wanawakazania watoto madrasa na kutowapeleka shule ?
Wewe myahudi wa kazilamimba huko Tabora ndo kila kitu kinachohusu Israel unakichukulia kwa sura ya kidini. Lakini wenye kujua kinachoendelea wala haya mambo hawayachukulii kidini. Maana hao wayahudi wenyewe wanawachukia wakristo na yesu wao wanasema ni wa mchongo.

Tukija kwa Iran pia ni nchi ya kiislam lkn haya mambo wameyapa muelekeo wa kisiasa. Ndomaana Iran anamthamini sana Mchina, Mrusi, Mkorea na Mvenezuela ambao sio waislam kuliko Saudia arabia, Jordan, Oman nk ambao ni waislam. Pale pale Iran kuna wairan wengi tu wenye asili ya kiyahudi na hakuna mtu aliewahi kuwagusa. Wanaswali na kufanya ibadan zao zote kwa uhuru bila kubughuziwa na mtu yoyote.
 
 
Nilijua uzi utakuwa na ushauri uliotukuka kumbe ni pumba za kuipamba iran 😂😂
 
Mimi sichukulii dini mimi naongea facts wayahudu wapo hapo toka 1947 waarabu wameshindwa nini kuwaondoa ? Watu wana mafuta lakini bado wanalindwa na Wamarekani haujiulizi kwa nini ? Uarabuni wanaishi kimatabaka ukizaliwa kaztika ukoo wa kawaida hata ufanyaje hautoboi. Unategemea wataweza kukuza vipaji walivyojaliwa navyo. Ukiangalia Israeli kila raia ana bunduki yake na kama ikitokea masuala ya vita wanaenda pamoja. Hauwezi ukaswali mara tano kwa siku na kukazania watoto waende madrasa utoboe. Waarabu hela zao wanapata kwa sababu ya mafuta isingekuwa mafuta wasingekuwa na chochote. Akili mtu wangu na kuondoa matabaka ndio kunaißpa Israel nguvu. Wayahudi wametapakaa dunia nzima na wana jikusana na kuwa na umoja. Ukitaka kupingana na Wayahudi acha kutumia Cocacola au kula Mcdonalds. Unaweza ukawa unatetea wapalestina lakini kumbe uanwapa faida makampuni ya wayahudi kwa kutumia bidhaa zao.
 
Ni jamii ya kibinafsi sana haiwezi kuishi popote dunian kuna laana flan hivi ardhi imewakataa kabisa kwasababu walikiuka maagizo na sasa imekua jamii iliyokataliwa kabisa inakumbatiwa na shetani wenzie tu lakini binadamu wa kawaida hawezi kua karibu na mazayuni most of them japo wapo walio wema.
 
Nilijua uzi utakuwa na ushauri uliotukuka kumbe ni pumba za kuipamba iran 😂😂
Jana Marekani ilifunga mifumo bora kwa lengo la kuhakikisha eti hakuna hata nzi wa kigeni au mbu anapenya katika anga la Israel.

Halaf leo asubuhi muajemi kamuonesha mmarekani kuwa ulinzi wote aliofunga pale Israel si chochote si lolote mbele ya watu wenye akili toka zaidi ya 3000 iliyopita 😂😂

Shambulio limepigwa leo asubuhi, na mmarekani kaweka mitambo yake jana.
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-110407.jpg
    372.6 KB · Views: 2
Msisahau kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. zoezi linaendelea kwenye mitaa yetu.
 
Umeandika ujinga unaofunzwa kanisani. Look bro hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako. Hauwezi kuijadili, bora uende katika jukwaa la vichekesho kidogo ndo kutakufaa. Kwa haraka haraka inaonekana haujui hata race za mashariki ya kati.

Haujui Iran ni jamii gani, yako inakutuma kwamba kila anaepambana na Israel pale mashariki ya kati ni muarab. Unakosea sana bro. Hao Iran sio waarab ni waajemi na ndio maana wako tofauti mno kiakili, kimipango na kimtazamo na waarab. Ogopa nchi ambayo ina vikwazo vya uchumi na jeshi kwa zaidi ya miaka 50 lakini wana uwezo mkubwa wa kutengeneza silaha na kujilinda kuliko hata hao waarab ambao hawana kikwazo hata kimoja.

Wayahudi hawana vikwazo vya kutengeneza silaha, lakini hawana ujanja wa kutengeneza za kwao. Kila siku wanaagiziwa tu kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi, Ubelgiji nk. Juzi Kati raisi wa Ufaransa aliposema kuwa Israel ipunguziwe msaada wa silaha, Netanyahu kaenda kwenye vyombo vya habari fasta fasta na kuanza kulia lia na kumsemea mbovu mwenzake kisa eti kasema wapewe silaha mdogo. Kwahiyo unaweza kuona kuwa Israel inategemea zaidi silaha kutoka nje kuliko inazotengeneza yenyewe.

Hii ni tofauti na Iran ambayo ina vikwazo lukuki vya silaha lakini jamaa wana silaha zote ambazo nchi za magharibi wanazo hadi zingine kampa Mrusi azitumie katika vita vyake na Ukraine, na kweli zimebadilisha muelekeo wa vita hadi wazungu wanakimbilia kuiwekea Iran vikwazo maana silaha zake zinafanya mambo ya ajabu na kukwamisha mipango yao ya kutaka Mrusi ashindwe. Kama hiyo haitoshi Iran ina supply silaha kwa makundi ya hezbulah, houth, Syria, kwa lile kundi la shia kule Iraq nk. Yani jamaa wana silaha hadi wanawapa watu, huku Israel yenyewe ikilalamika kupewa tu na watu silaha.

Hayo mengine ya sijui wayahudi hivi na vile ni story tu za vijiweni. Kama wayahudi wangekuwa vizuri kama unavyosema basi yenyewe Israel ndo ingekuwa nchi tajiri na super power. Kila kitu kingetoka kwake. Lakini sasa tunaona yenyewe ndo inategemea wengine kwa kila kitu.

Leo asubuhi kabondwa vibaya na hezbulah
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-110407.jpg
    372.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…