Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Weee mavi!
Pole sana mke wa Netanyahu kama mkuki wangu umekuingia sawa sawa.

Ukikubali kuolewa na mwanasiasa kama Netanyahu basi ukubali pia kukumbana na mashambulizi ya kisiasa kama hivi dada yangu.
 
Hivi Neta Nyau aliposema viongozi wa magaidi na wafadhili wao are living dead, au wanaishi kwa muda wa mkopo hawakumwelewa au walidhani anatania.

Na amesema hivi karibuni wananchi wa Iran watakombolewa, nadhan hapo pia hawajaelewa.
Wavaa kobaz hawataki kuambiwa ukweli kuwa hamas, iran ni magaidi.

Na ili dunia iwe na amani wapumbavu hawa lazima waondolewe

Na bado trump anakuja , watajikojolea hawa , we tulia
 
Hizi ni taarifa ambazo hata wewe unaweza kuziandika na kuzichapisha. Ukizingatia kuwa nchi za magharibi ndio zinazoshikilia vyombo vyote vya propaganda. Hata Tz kuna kiongozi aliwahi kusema kuwa jeshi la Tanzania ni miongoni mwa majeshi kumi bora duniani. Hivyo hiyo ni kawaida sana kwenye swala linalohusu propaganda. Sema kumekuwa na utaratibu wa kukubali au kukataa propaganda kulingana na nchi.

Mfano wewe unaipenda Israel hivyo hata ukiona wameandika propaganda ya uongo utaikubali tu na kuitumia kudanganya wengine ili kuuridhisha moyo wako. Lakini propaganda hiyo hiyo ukiikuta kwa Iran utaipinga na kuitumia kuwaonesha watu kuhusu hiyo propaganda.
Unataka tuache kuamini taarifa rasmi za exports and imports za silaha kutoka Israel, kutoka Serikali mbalimbali Duniani, halafu tuziamini za kwako ambaye huagizi hata gobole kutoka nchi yoyote?
 
Unashauri Benjamin aende kumshawishi Kamenei
the same you unasema kamenei akiamua kupiga anapiga kweli hata akienda sheikh au papa kumuomba asimame hawawezi
kwani Kamenei hajaamua bado tu kupigaana
 
Mkuu mbona Iran+Hamas+Houth+Hezbollar wote wanahubiri death to America na Death to Israel??
Mwenye kusubiri ni nani? Yule aliepigwa kwenye nchi yake mwenyewe zaidi ya mara mbili bila kujibu, au yule anaemtwanga mwenzake?
 
Pole sana mke wa Netanyahu kama mkuki wangu umekuingia sawa sawa.

Ukikubali kuolewa na mwanasiasa kama Netanyahu basi ukubali pia kukumbana na mashambulizi ya kisiasa kama hivi dada yangu.
Tulia wewe unaingiziwa mizinnga matakni na hamas.

Ndio maana unalegea legea kuwalembulia

Endelea kunyonya dudu la benja hadi amwage
1000060061.jpg
 
Yani mbongo mmoja yuko chanika eti anaitishia israel ahhahah

Endelea kuinama kila ijumaa ukituramia mabebi wako wa hezbollah manina wewe
 
Wewe ni kwamba una uelewa duni au unafanya maigizo ya kutokuwa na akili?

Iran safari iliyopita ilirusha makombora zaidi ya 300, karibia yote yalidunguliwa kabla hayajaingia ardhi ya Israel. Machache yaliyoingia yalidunguliwa, na mabaki yalimjeruhi ntu mmoja tu, na hakukuwa na madhara yoyote makubwa.

Israel ilijibu kwa kurusha kombora moja tu tokea kwenye ndege, ikateketeza mtambi wa kurushia makombora wa Iran. Hiyo inaonesha precision na ubora wa hao Wayahudi katika vita ukilinganisha na Iran.

SAfari hii Iran imerusha makombora zaidi ya 200, mengi yalidunguliwa, machache yaliyotua yaliangukia maeneo yasiyo na kitu. Sasa usubirie hao wayahudi watakachofanya, wanaweza kurusha matatu tu, lakini utaona madhara yake.

Uwingi bila umakini, ni upotevu wa rasilimali.
Ndivyo mnavyodanganyana. Unanikumbusha shambulizi lililofanywa na M23 mwaka jana kule Congo. Serikali ya Kinshasa ikasema kuwa shambulio halikuwa Na madhara na kwamba jeshi la serikali limedhibiti attack.

Baada ya muda tukasikia kuwa shambulizi lile limeuwa makumi ya wanajeshi, wengine wametekwa na wengine kukimbia na eneo lenyewe lipo chini ya M23 hadi leo. So sishangai Israel kukubali mbele ya dunia kuwa walipigwa na mifumo yao iliharibiwa vibaya. Na sio Israel tu serikali yoyote makini hapa duniani ingeficha ukweli wa mashambulizi Yale.
 
Falsafa ya Iran na makundi yake yote ya kigaidi ni kwamba Wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani, wanatakiwa kuangamizwa.
Wazayuni wametokea Ulaya kuja kuwekwa pale kwa masilahi ya nchi za magharibi. So kama wanataka kuwamaliza wapalestina ambao ni wenyeji ili wachukue ardhi yao yote basi watatetewa tu ili kuhakikisha wanaotaka kuwamaliza wanamalizwa wenyewe au wanafuata sheria za kimataifa kwa kuheshimu mipaka iliyowekwa na Umoja wa Mataifa.
 
Hivi Neta Nyau aliposema viongozi wa magaidi na wafadhili wao are living dead, au wanaishi kwa muda wa mkopo hawakumwelewa au walidhani anatania.

Na amesema hivi karibuni wananchi wa Iran watakombolewa, nadhan hapo pia hawajaelewa.
Juzi speaker wa bunge la Iran alienda Lebanon na kutembelea eneo la kusini ambalo lina mapigano. Cha kushangaza Netanyahu alipojua kwamba Speaker ameenda eneo la vita kuwatembelea waathirika wa mapigano na kuwatia moyo, Netanyahu akakataza majeshi yake yasithubutu kurusha hata jiwe hadi speaker huyo atakapoondoka. Ndo waendelee na mapambano. Pia wiki iliyopita waziri wa mambo ya nje wa Iran alikuwa huko katika eneo la vita na akatoka salama bin salimin bila kuguswa hata na vumbi la risasi.

Netanyahu anamjua vizuri Ayatullah, akielekeza makombora Israel huwa hakuna cha mswalie mtume wala Yesu na Maria. Anatwanga tu kwa Netanyahu.
 
Umoja wa nchi za NATO Hivi wanajilinda dhidi ya nani? Jibu ni kwamba wanajilinda dhidi ya russia. Kukiwa na maridhiano ya aina yoyote ambayo ni ya kirafiki na kuaminiana kwa 100% automaticaly NATO Inakufa kifo cha kawaida.
Maridhiano yoyote ya amani kati ya israel na iran bila kuitambua mipaka ya palestina ya 1967 inayotambulika na UN, na jerusalem kuwa mji mkuu wa wapaleatina, hii maanake ni kwamba Marekani afungashe virago huko mashariki ya kati arudi nyumbani. Dunia itakuwa na amani na yale masilaha walotengeneza yatakuwa hayana kazi.

Tangu napata akili, mizozo naisikia huko mashariki ya kati na maeneo ya balkani.
Alijisemea Yericko Nyerere kwamba vita vina faida kubwa kuliko hasara. Nilimwelewa sana.
 
Unashauri Benjamin aende kumshawishi Kamenei
the same you unasema kamenei akiamua kupiga anapiga kweli hata akienda sheikh au papa kumuomba asimame hawawezi
kwani Kamenei hajaamua bado tu kupigaana
Si ashaamua na kupiga mara mbili pale Israel bila majibu. Au wewe ulikuwa kijijini kwenu kazula mimba huko Tabora vijijini?
 
Juzi speaker wa bunge la Iran alienda Lebanon na kutembelea eneo la kusini ambalo lina mapigano. Cha kushangaza Netanyahu alipojua kwamba Speaker ameenda eneo la vita kuwatembelea waathirika wa mapigano na kuwatia moyo, Netanyahu akakataza majeshi yake yasithubutu kurusha hata jiwe hadi speaker huyo atakapoondoka. Ndo waendelee na mapambano. Pia wiki iliyopita waziri wa mambo ya nje wa Iran alikuwa huko katika eneo la vita na akatoka salama bin salimin bila kuguswa hata na vumbi la risasi.

Netanyahu anamjua vizuri Ayatullah, akielekeza makombora Israel huwa hakuna cha mswalie mtume wala Yesu na Maria. Anatwanga tu kwa Netanyahu.
Basi sawa anamjua na kumwogopa. Umefurahi?

Nyinyi ndio mlisema Israel hagusi Hizbulah anaonea Hamaz.

Leo mnaleta vumbi la Irani. Akipigiwq mtasema Urusi.

Yetu macho na masikio, ila tambueni anaelengwa hapo ni Iran, ndiye kitovu cha ugaidi. Hapo ataanza Israel, ataingilia US na UK mara NATO wote watashuka.

Kumbuka kauli ya Netanyahu...... Wananchi wa Iran watakombolewa hivi karibuni
 
Umoja wa nchi za NATO Hivi wanajilinda dhidi ya nani? Jibu ni kwamba wanajilinda dhidi ya russia. Kukiwa na maridhiano ya aina yoyote ambayo ni ya kirafiki na kuaminiana kwa 100% automaticaly NATO Inakufa kifo cha kawaida.
Maridhiano yoyote ya amani kati ya israel na iran bila kuitambua mipaka ya palestina ya 1967 inayotambulika na UN, na jerusalem kuwa mji mkuu wa wapaleatina, hii maanae ni kwamba Marekani sfungsshe virsgo huko mashariki ya kati arudi nyumbani. Dunia itakuwa na amani na yalw m!silaha walotengeneza yatakuwa hayana kari.

Tangu napata akili, mizozo naisikia huko mashariki ya kati na maeneo ya balkani.
Alijisemea Yericko Nyerere kwamba vita vina faida kubwa kuliko hasara. Nilimwelewa sana.
Basi Israel itaendelea kuchezea kichapo tu hadi waombe poo.
 
Basi sawa anamjua na kumwogopa. Umefurahi?

Nyinyi ndio mlisema Israel hagusi Hizbulah anaonea Hamaz.

Leo mnaleta vumbi la Irani. Akipigiwq mtasema Urusi.

Yetu macho na masikio, ila tambueni anaelengwa hapo ni Iran, ndiye kitovu cha ugaidi. Hapo ataanza Israel, ataingilia US na UK mara NATO wote watashuka.

Kumbuka kauli ya Netanyahu...... Wananchi wa Iran watakombolewa hivi karibuni
1. Hezbulah ni kundi, Israel ni nchi.
2. Hezbulah wanapewa silaha na Iran, Israel inapewa silaha na US, UK, Canada, Ujerumani, Ufaransa Uholanzi, Italy nk.

So ufananisho wako ni wa kipuuzi. Ni sawa sawa na kulisifu jeshi la Tanzania kwa kutumia misilaha yote inayonunua na kutengeneza eti kupambana na panya road. Kipimo cha nguvu za jeshi hupambanishwa kwa kupigana nchi na nchi. Na sio nchi yenye wanajeshi zaidi ya laki 6 na kikundi cha vijana wasiofika hata laki, tena hawana serikali wala waziri.

Netanyahu aache kujificha kwenye kichaka cha vita uchwara ya wanyonge Hezbulah, yeye apambane na Iran maana tayari umesharusha makombora mara mbili katika ardhi yake bila kujibiwa.
 
Msiwe mnaropoka bila tafiti.

Ni uwongo mkubwa kusema kuwa eti 90% ya silaha za Israel zinatoka USA.

Does Israel manufacture its own weapons?

Israel has built up its own defence industry with US cooperation, and now ranks as the ninth-largest arms exporter in the world, with a focus on advanced technological products.

Why is Israel's military so strong?

Israel's Defense Forces are known to be one of the most equipped militaries across the globe. Its annual budget exceeds $20 billion and Israel also has access to America's high-tech equipment. Moreover, the cyber capabilities of Israel's military is also commendable.22 Oct 2023.
Wewe ndio hujui,US ndio mfahili mkubwa wa silaha Kwa Israel financially and supplying km hujui kasome upya
Msiwe mnaropoka bila tafiti.

Ni uwongo mkubwa kusema kuwa eti 90% ya silaha za Israel zinatoka USA.

Does Israel manufacture its own weapons?

Israel has built up its own defence industry with US cooperation, and now ranks as the ninth-largest arms exporter in the world, with a focus on advanced technological products.

Why is Israel's military so strong?

Israel's Defense Forces are known to be one of the most equipped militaries across the globe. Its annual budget exceeds $20 billion and Israel also has access to America's high-tech equipment. Moreover, the cyber capabilities of Israel's military is also commendable.22 Oct 2023.
Soma hii moja ya article kuhusu hili suala,nasubiralako
 
Back
Top Bottom