Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Upo sahihi Israel ina uchumi mkubwa haihitaji msaada kama omba omba Iran
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-163905.png
    210.6 KB · Views: 1
Acha upumbavu kijana, hiki ulichoandika hapa ni ujinga na upuuzi. Hivi inakuingia akilini kweli Mungu aumbe mamilioni ya watu duniani, halafu achague waisrael pekee ambao ushoga, na usagaji (asivyovipenda Mungu) ni sehemu ya maisha yao kuwa watu wake. Yani Mungu awe na sifa za kibaguzi kwa kuumba mataifa mbali mbali yeye mwenyewe halafu achague taifa moja!

Mungu huyu mwenye uwezo kama anawapenda waisrael si angetuumba sisi wote wayahudi ili afurahie zaidi.

Hii ni sawa na sifa ya binadam kuwa na watoto 5, halaf umpende mmoja na kuwatelekeza wengine bila kufanya kosa lolote. Mungu wa kweli habagui nchi, jinsia, rangi wala Kabila. Ukisikia Mungu anakundi maalumu ujue huyo ni wa mchongo ametengenezwa na hao waliokwambia ili kukufanya wewe uwaone wao bora kuliko wewe, na wakati kiuhalisia mbele ya Mungu nyinyi wote ni sawa tu hakuna mzungu, muarab, mchina wala muafrika.

Inasikitisha sana mpaka leo bado kuna miafrika inaamini ujinga wa vitabu vya kutungwa na binadam wenzao tena kipindi ambacho wao hawakuwepo.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 2
  • FB_IMG_17118944407352949.jpg
    55.7 KB · Views: 1
Mkuu kwani neta ni jf member?.
Ana ndugu zake humu wayahudi wa gongo la mboto wakiona umeizungumzia Israel tofauti na vile wanataka wao, basi watakushambulia mpaka uone mistari ya mdomo kuchanika pemben ikionekana.

Hao hao nina imani watamfikisha ndugu yao myahudi mzungu taarifa.
 
Unaandika tokea masjid nani mkuu.?
Naandika kutokea kwa mzee wa upako. Nimemaliza kutoa Sadaka ya kwenda Israel kusaidia kuwasomesha watoto wa Netanyahu, huku watoto wangu wakilala njaa ili nibarikiwe na mungu wao wa kiyahudi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi kama muwakilishi wa Ayatollah Khamenei nasema hatuko tayari kwa maongezi yoyote ukiweka ugoko tunaweka chuma hiyo ndo maisha tumeamua Iran tuishi maana dharau imezidi
Tembeza tu kichapo baba, maana Netanyahu nimempa ushauri mzuri yeye kajifanya kiburi.
 
Naskia marekani anataka kumpelekea mwanae mpendwa THAAD ili imsaidie kujikinga na wanga toka hezbollah na Iran
Na bado watafunga mpaka maturubai, lakini muajemi atawachapa tu. Ayatollah hacheki na kima.
 
Na bado watafunga mpaka maturubai, lakini muajemi atawachapa tu. Ayatollah hacheki na kima.
😁😁😁😁😁😁 Nafikiri akitupiwa Khinzal missile ikulu ndio atajitambua
 
Upo sahihi Israel ina uchumi mkubwa haihitaji msaada kama omba omba Iran
Naona myahudi wa uvinza Kigoma kutoka nduki, hajarudi kukujibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😁😁😁😁😁😁 Nafikiri akitupiwa Khinzal missile ikulu ndio atajitambua
Nafikiri wanawajaza kwanza wasoge sogee kwenye 18, alaf wasombwe kama dagaa bichi pale feli.
 
Ndugu yangu Iran yupo peke yake lakini Wayahudi wametapakaa dunia nzima. Wa-Iran wenye akili walishaondoka kitambo Iran wapo Marekani kimaslahi. Kuna makampuni kibao yanaoi-support Israel. Ukitaka kutoi-support Israel inabidi uache kutumia hadi google na Apple. Kutumia huu mtandao na kuchat na mimi ni kumpa myahudi faida. Apple na google wameshinda subcontractors Israel na hawawatambui wapalestina.

Kuna kipindi wayahudi walipitia wanachopitia wapalestina leo hii.Wakarudi mezani na kujipanga na leo hii wapo hapa walipofikia.Mwaka 1896 Theodor Herzl akΒ΄lianzisha mpango wa kurudi nyumbani miaka 51 baadae 29 November 1947 wakawa wako nyumbani. Wapalestina wana advantage ya ukimbizi wanachotakiwa kufanya waombe uraia katika first world countries. Waachane na masuala ya swala tano na kuanza kusoma na kuingia kwenye system. Halafu ndio waje na mpango wa kumwondoa myahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…