Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Mleta mada ni mtupu sana kichwani. Amekosa maarifa na uelewa. Riwaya ndefu lakini uwongo mtupu. Hajui masuala ya uchumi, hajui masuala ya kivita wala kidiplomasia. Ametoka usingizini na kuanza kuandika mambo yasiyo na uhalisia.

Hajui kuwa Iran ni kubwa na ina watu wengi kuliko Israel, LAKINI Israel ina uchumi mkubwa kuliko Iran.

In 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion. These differences become even starker when comparing the total value of goods and services produced a year.2 Oct 2024

Hajui kuwa Israel inatengeneza silaha mpaka inaziuzia baadhi ya nchi za kiarabu.

S
Small arms
Upo sahihi Israel ina uchumi mkubwa haihitaji msaada kama omba omba Iran
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-163905.png
    Screenshot_20241014-163905.png
    210.6 KB · Views: 1
utofauti kati ya mtu mwenye Mungu na asiye na Mungu ni kwamba, mwenye Mungu hata angeonekana mdhaifu namna gani, lazima atashinda, asiye na Mungu hata angeonekana na nguvu namna gani, lazima atashindwa tena kwa aibu na fedheha kubwa. Hata Goliath mpalestina aliyekuwa anapigana na waisrael alitisha hadi amiri jeshi alitaka kukimbia, ila katoto kadogo tu kafugaji kanakoitwa Dauti, kalimpiga kwa jiwe tu.

Mungu yupo upande wako? ndio iwe hoja, kama jibu ni ndio, hata kama angekuwa marekani nenda kapigane naye. na katika hili, Mungu alishaahidi kuwa atakuwa na waisrael na hatawaacha. hivyo subirini tu matokeo, hata wao wanajua wameshashinda kwa sababu hii sio vita yao ya kwanza kwenye historia yao, Mungu ana historia nao ndefu sana.
Acha upumbavu kijana, hiki ulichoandika hapa ni ujinga na upuuzi. Hivi inakuingia akilini kweli Mungu aumbe mamilioni ya watu duniani, halafu achague waisrael pekee ambao ushoga, na usagaji (asivyovipenda Mungu) ni sehemu ya maisha yao kuwa watu wake. Yani Mungu awe na sifa za kibaguzi kwa kuumba mataifa mbali mbali yeye mwenyewe halafu achague taifa moja!

Mungu huyu mwenye uwezo kama anawapenda waisrael si angetuumba sisi wote wayahudi ili afurahie zaidi.

Hii ni sawa na sifa ya binadam kuwa na watoto 5, halaf umpende mmoja na kuwatelekeza wengine bila kufanya kosa lolote. Mungu wa kweli habagui nchi, jinsia, rangi wala Kabila. Ukisikia Mungu anakundi maalumu ujue huyo ni wa mchongo ametengenezwa na hao waliokwambia ili kukufanya wewe uwaone wao bora kuliko wewe, na wakati kiuhalisia mbele ya Mungu nyinyi wote ni sawa tu hakuna mzungu, muarab, mchina wala muafrika.

Inasikitisha sana mpaka leo bado kuna miafrika inaamini ujinga wa vitabu vya kutungwa na binadam wenzao tena kipindi ambacho wao hawakuwepo.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 2
  • FB_IMG_17118944407352949.jpg
    FB_IMG_17118944407352949.jpg
    55.7 KB · Views: 1
Mkuu kwani neta ni jf member?.
Ana ndugu zake humu wayahudi wa gongo la mboto wakiona umeizungumzia Israel tofauti na vile wanataka wao, basi watakushambulia mpaka uone mistari ya mdomo kuchanika pemben ikionekana.

Hao hao nina imani watamfikisha ndugu yao myahudi mzungu taarifa.
 
Unaandika tokea masjid nani mkuu.?
Naandika kutokea kwa mzee wa upako. Nimemaliza kutoa Sadaka ya kwenda Israel kusaidia kuwasomesha watoto wa Netanyahu, huku watoto wangu wakilala njaa ili nibarikiwe na mungu wao wa kiyahudi 😂😂😂
 
Mimi kama muwakilishi wa Ayatollah Khamenei nasema hatuko tayari kwa maongezi yoyote ukiweka ugoko tunaweka chuma hiyo ndo maisha tumeamua Iran tuishi maana dharau imezidi
Tembeza tu kichapo baba, maana Netanyahu nimempa ushauri mzuri yeye kajifanya kiburi.
 
Naskia marekani anataka kumpelekea mwanae mpendwa THAAD ili imsaidie kujikinga na wanga toka hezbollah na Iran
Na bado watafunga mpaka maturubai, lakini muajemi atawachapa tu. Ayatollah hacheki na kima.
 
Upo sahihi Israel ina uchumi mkubwa haihitaji msaada kama omba omba Iran
Naona myahudi wa uvinza Kigoma kutoka nduki, hajarudi kukujibu 😂😂😂
 
Umeandika ujinga unaofunzwa kanisani. Look bro hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako. Hauwezi kuijadili, bora uende katika jukwaa la vichekesho kidogo ndo kutakufaa. Kwa haraka haraka inaonekana haujui hata race za mashariki ya kati.

Haujui Iran ni jamii gani, yako inakutuma kwamba kila anaepambana na Israel pale mashariki ya kati ni muarab. Unakosea sana bro. Hao Iran sio waarab ni waajemi na ndio maana wako tofauti mno kiakili, kimipango na kimtazamo na waarab. Ogopa nchi ambayo ina vikwazo vya uchumi na jeshi kwa zaidi ya miaka 50 lakini wana uwezo mkubwa wa kutengeneza silaha na kujilinda kuliko hata hao waarab ambao hawana kikwazo hata kimoja.

Wayahudi hawana vikwazo vya kutengeneza silaha, lakini hawana ujanja wa kutengeneza za kwao. Kila siku wanaagiziwa tu kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi, Ubelgiji nk. Juzi Kati raisi wa Ufaransa aliposema kuwa Israel ipunguziwe msaada wa silaha, Netanyahu kaenda kwenye vyombo vya habari fasta fasta na kuanza kulia lia na kumsemea mbovu mwenzake kisa eti kasema wapewe silaha mdogo. Kwahiyo unaweza kuona kuwa Israel inategemea zaidi silaha kutoka nje kuliko inazotengeneza yenyewe.

Hii ni tofauti na Iran ambayo ina vikwazo lukuki vya silaha lakini jamaa wana silaha zote ambazo nchi za magharibi wanazo hadi zingine kampa Mrusi azitumie katika vita vyake na Ukraine, na kweli zimebadilisha muelekeo wa vita hadi wazungu wanakimbilia kuiwekea Iran vikwazo maana silaha zake zinafanya mambo ya ajabu na kukwamisha mipango yao ya kutaka Mrusi ashindwe. Kama hiyo haitoshi Iran ina supply silaha kwa makundi ya hezbulah, houth, Syria, kwa lile kundi la shia kule Iraq nk. Yani jamaa wana silaha hadi wanawapa watu, huku Israel yenyewe ikilalamika kupewa tu na watu silaha.

Hayo mengine ya sijui wayahudi hivi na vile ni story tu za vijiweni. Kama wayahudi wangekuwa vizuri kama unavyosema basi yenyewe Israel ndo ingekuwa nchi tajiri na super power. Kila kitu kingetoka kwake. Lakini sasa tunaona yenyewe ndo inategemea wengine kwa kila kitu.

Leo asubuhi kabondwa vibaya na hezbulah
Ndugu yangu Iran yupo peke yake lakini Wayahudi wametapakaa dunia nzima. Wa-Iran wenye akili walishaondoka kitambo Iran wapo Marekani kimaslahi. Kuna makampuni kibao yanaoi-support Israel. Ukitaka kutoi-support Israel inabidi uache kutumia hadi google na Apple. Kutumia huu mtandao na kuchat na mimi ni kumpa myahudi faida. Apple na google wameshinda subcontractors Israel na hawawatambui wapalestina.

Kuna kipindi wayahudi walipitia wanachopitia wapalestina leo hii.Wakarudi mezani na kujipanga na leo hii wapo hapa walipofikia.Mwaka 1896 Theodor Herzl ak´lianzisha mpango wa kurudi nyumbani miaka 51 baadae 29 November 1947 wakawa wako nyumbani. Wapalestina wana advantage ya ukimbizi wanachotakiwa kufanya waombe uraia katika first world countries. Waachane na masuala ya swala tano na kuanza kusoma na kuingia kwenye system. Halafu ndio waje na mpango wa kumwondoa myahudi.
 
Back
Top Bottom