HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ila kuamini huo ujinga na kutoambiwa ukweli unaona ndiyo heshima,eti?Hizi dharau za wazi mkuu .
Kuhusu novena..WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?
Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.
Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?
Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
Press yake ya mwisho imetoa unafuu gani kwako?Kuhusu novena..
Press ya mwisho ya slowslow ni jibu pia
Tupo tofauti kwenye kufikiriPress yake ya mwisho imetoa unafuu gani kwako?
Mwandiko wa mtu unaweza kumtambulisha kiwango chake cha elimu na uelewa wa mambo mengi ya msingiWaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?
Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.
Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?
Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
Huo ufikiri wako ndiyo uuweke hapa sasa tuupime kama ni ujinga au welevu,je unafikiri polepole ni wa kwanza kuja kwa style hiyo ya udouble agent?Tupo tofauti kwenye kufikiri
hii sio kweli..Mwandiko wa mtu unaweza kumtambulisha kiwango chake cha elimu na uelewa wa mambo mengi ya msingi
Na ni kwanini hizo novena na albadiri zinasomwa tu wakati tunapotaka kumlaani mtu, kwanini zisisomwe pia kuponya wagonjwa mahospitalini ili hospitali zibaki tupu?WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?
Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.
Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?
Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
Kwanini hamjaomba miaka yote hiyo ccm iondoke?Maombi-Imani-Matendo, ukiamini ulichoomba unaenda kuitoa sa CCM, uliyemuomba ataitoa CCM kupitia wewe. Aliyeombwa ni spiritual being.
Ni kweli kabisaNa ni kwanini hizo novena na albadiri zinasomwa tu wakati tunapotaka kumlaani mtu, kwanini zisisomwe pia kuponya wagonjwa mahospitalini ili hospitali zibaki tupu?
Mi naona hayo yangekua matumizi bora zaidi ya novena na albadir
Hapo sasa ndipo ujinga wa kina mshana uliopoNa mimi najiuliza hivyo hivyo, kwanini mtu kama Rostam asisomewe albadir ama Novena?