Kama kweli novena na albadili vinanguvu kwanini visitumike kuitoa ccm kwenye madaraka,kuondoa mafisadi,nk?

Imani inaweza kuondoa mlima,ila wew Huna imani hiyo kwahiyo mlima hauwezi kuondoka inaonekana upto wake wa kuelewa mambo ya kiimani ni mdogo sana na post yako nikama kuiponda novera na albadili hivyo keako hata ikifanyika haiwezi kufanya chochote
Ni wapi novena na albadili vimewahi kuhamisha milima au ni wapi uliwahi kusikia watu wenye ujinga wa imani wamewahi kuhamisha milima kwa novena na albadili??

Kujua ni zaidi kuliko kuamini,mtu anamjua mzazi wake siyo anaamini kuwa huyo ni mzazi wake.
Novena ni ujinga ambao hatoi majibu chanya huwezi kuamuacha mtu akudhurumu mali yako halafu useme novena itakurejeshea kwa kuwa unaimani,shit!
 
Angalia lugha unayotumia mkuu, hata kama hukubaliani nao kwenye imani
 
WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?

Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.

Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?

Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
Nakuungo mkono katika hili.

Na miguu pia...

Cc Mbaga Jr BICHWA KOMWE -
 
Angalia lugha unayotumia mkuu, hata kama hukubaliani nao kwenye imani
Huo ndiyo ukweli lugha za kuremba zimewatia ujinga ktk imani za kijinga,iweje Afrika tu ndiyo waijue novena na albadili?haya wasaidieni huko kongo,palestina,ukraine,nk kwahiyo novena na albadili yenu.

Mzungu akitaka mali ya Mwafrika huanzisha vita ya silaha ili kuchukua mali ila Mwafrika yeye alishaaminishwa novena na albadili,haya tusubiri!!
 
Lugha ikiwa kali sana hata hoja unayotaka kuitoa haitoeleweka mkuu , usikaze kichwa
 
Huyu ndo msema kweli, waafrika hasa tanzania ni wajinga wengi wa Imani za kusadikika
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-27_171150.jpg
    Screenshot_2025-08-27_171150.jpg
    46.3 KB · Views: 20
Lugha ikiwa kali sana hata hoja unayotaka kuitoa haitoeleweka mkuu , usikaze kichwa
Tatizo la watanzania mlio wengi mnapenda kubembelezwa hata kwa vitu vya msingi kwa faida yenu,huu ujinga wa imani za dini za kuja na siasa viliingizwa vichwani kwenu kwa nguvu hata mijeredi ilitumika,watu waliopinga kupokea waliuawa hivyo havikuingizwa kwa kubembelezwa na hivyohivyo vinatakiwa kuondolewa kwa nguvu ikiwemo lugha kali hata bakora ikibidi.
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom