The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna.
Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu halijamaliza miaka kumi hamuwezi kufurukuta, na ukizingatia kwamba katiba yetu na mifumo yetu inawaruhusu kuchezea kura za wananchi ndo basi tena.
Kwenye hili naona ni dhahiri ccm wasiinyoshe kidole chadema kwaajili ya mbowe.