Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu Kijiri anafanana sana na yule wa kulia wa Mamelodi Sundowns, time will tell.
Kama kweli amesajiliwa basi nitaweka silaha chini na sitokosoa tena klabu yangu ya mioyo yangu, Simba sports club.