Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nyie Kila mkisikia wachezaji wazuri wanakuja Simba mnaanza uchawi wenu Mara atakosa namba Ila mnaishia kuchukua rejected wa Simba .Atakuwa ni mjinga kwenda kucheza Simba, bora abaki hapo hapo akiwa na uhakika wa namba yake.
Wanathiiimbaaa..... lete mudhumgu.Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu Kijiri anafanana sana na yule wa kulia wa Mamelodi Sundowns, time will tell.
Kama kweli amesajiliwa basi nitaweka silaha chini na sitokosoa tena klabu yangu ya mioyo yangu, Simba sports club.
Mjinga ni aziz ki, mmemuendea kwa waganga mumloge ili asaini yanga na pesa zenu za kimskini za mawazo hadi ameacha mshhara wa milioni zaid ya 100 kwa mwezi.Atakuwa ni mjinga kwenda kucheza Simba, bora abaki hapo hapo akiwa na uhakika wa namba yake.
Mnampangia cha kufanya mtamlisha nyie?Atakuwa ni mjinga kwenda kucheza Simba, bora abaki hapo hapo akiwa na uhakika wa namba yake.
Uhakika wa namba bila mshahara mnono ni ujinga na umri unakwenda maisha ya soka ni mafupi sanaAtakuwa ni mjinga kwenda kucheza Simba, bora abaki hapo hapo akiwa na uhakika wa namba yake.
Kwa hiyo no zaidi ya Atohola Yak Kwasi?Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu Kijiri anafanana sana na yule wa kulia wa Mamelodi Sundowns, time will tell.
Kama kweli amesajiliwa basi nitaweka silaha chini na sitokosoa tena klabu yangu ya mioyo yangu, Simba sports club.
Ha ha haKocha Fadlu ikimpendeza amuanzishe tena Kelvin Kijili kwenye Derby ya tarehe 8. Beki bora sana huyu.