Kama kweli Simba itafanikiwa kumsajili kipa yule wa Brazil, aisee nyumbani kumenoga!

Acje kuwa kindoki aliyechangamka
 
Viongozi walete yule nyanda ni kiboko kabisa yule
 
Yanga tunawasubiria nje mwambie zile mbili bila mliyufungaje!?
 
Huyo kipa lazima atakuwa mbovu tu! Angekuwa na uwezo huo unaouelezea hapa angekuwa anachezea timu za maana huko brazil
 
duh mie nilidhani alilia sana hadi mavi yakamtoka
 
Dejan wa Zolan
Na Rbertidho anakuja na Dejan wake
 
Kwanza linajiamini halafu nasikia alipowekewa clip ya penati kati ya Simba vs Wydad na kuona Ally Salim akifungwa kizembe, alilia sana nyanda huyo hadi makamasi yakawa yanamtoka.

Nimecheka kama mjinga!
JF ni kiburudisho tosha!
 
Mkuu video Iko wap...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…