Kama kweli Simba itafanikiwa kumsajili kipa yule wa Brazil, aisee nyumbani kumenoga!

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Lile golikipa linaloonekana kwenye social media likidaka mishale hadi hewa ya gesi ya oksijeni aisee kama ni kweli nyanda yule amesajiliwa, basi msimu ujao mnyama hata asipoweka beki nyuma kuko salama.

Jamaa anadaka penati utadhani anadaka hewa ya oksijeni, kwanza kaenda angani kama makipa wa zamani wa Simba Mackenzi Ramadhan, Mosses Mkandawile, Steven Nemes, Juma Shamte, Often Martin, Mohamed Mwameja nk.

Kwanza linajiamini halafu nasikia alipowekewa clip ya penati kati ya Simba vs Wydad na kuona Ally Salim akifungwa kizembe, alilia sana nyanda huyo hadi makamasi yakawa yanamtoka.

Simba, chama langu nalolipenda tangu nizaliwe huyu kipa sio wa kumuachia kama ni kweli, shida yenu tukiwashauri mnatupuuza.
 
Simba tusifanye makosa Tena kwenye usajili aibu itakuja Tena msimu ujao.
 
Lile golikipa linaloonekana kwenye social media likidaka mishale hadi hewa ya gesi ya oksijeni aisee kama ni kweli nyanda yule amesajiliwa, basi msimu ujao mnyama hata asipoweka beki nyuma kuko salama.

Jamaa anadaka penati utadhani anadaka hewa ya oksijeni, kwanza kaenda angani kama makipa wa zamani wa Simba Mackenzi Ramadhan, Mosses Mkandawile, Steven Nemes, Juma Shamte, Often Martin, Mohamed Mwameja nk.

Kwanza linajiamini halafu nasikia alipowekewa clip ya penati kati ya Simba vs Wydad na kuona Ally Salim akifungwa kizembe, alilia sana nyanda huyo hadi makamasi yakawa yanamtoka.

Simba, chama langu nalolipenda tangu nizaliwe huyu kipa sio wa kumuachia kama ni kweli, shida yenu tukiwashauri mnatupuuza.
Ya Zolan na Dejan part 2.
 
Moja ya mashabiki wachache wa makolo fc ambao siyo mbumbumbu, nadhani wewe ni mmoja wao.

Maana hata msimu uliopita Zoran alifanya hivi hivi na yule mlete Mzungu wake.
Kwani nyie Maximo hajawahi kuwaletea mashemeji zake?
 
Simba kuna timu inaitwa mashujaa haifungiki hata kwa majaribio 1000 golini
Hakuna timu iliyocheza ligi ya Bara na haijawahi kufungwa na Simba goli 4. Kama unaijua, nitajie nikuwekee matokeo
 
Hili ni KOSA kubwa mno VIONGOZI WATAKUWA ni WAPUMBAVU.

Yale Yale ya akina zolan mark na wachezaji wake dejen na Ottara.

Mbona vipers Kuna KIPA mzuri, marumo yule washngtone, hata Sudan Kuna KIPA WA Ermereck.

UPUMBAVU mwingine unafanya na VIONGOZI WA Simba.
 
Lile golikipa linaloonekana kwenye social media likidaka mishale hadi hewa ya gesi ya oksijeni aisee kama ni kweli nyanda yule amesajiliwa, basi msimu ujao mnyama hata asipoweka beki nyuma kuko salama.

Jamaa anadaka penati utadhani anadaka hewa ya oksijeni, kwanza kaenda angani kama makipa wa zamani wa Simba Mackenzi Ramadhan, Mosses Mkandawile, Steven Nemes, Juma Shamte, Often Martin, Mohamed Mwameja nk.

Kwanza linajiamini halafu nasikia alipowekewa clip ya penati kati ya Simba vs Wydad na kuona Ally Salim akifungwa kizembe, alilia sana nyanda huyo hadi makamasi yakawa yanamtoka.

Simba, chama langu nalolipenda tangu nizaliwe huyu kipa sio wa kumuachia kama ni kweli, shida yenu tukiwashauri mnatupuuza.
Anacheza klabu gani na ligi gani? Usiwekewe game za play station ukajijaza ujinga.
 
Hili ni KOSA kubwa mno VIONGOZI WATAKUWA ni WAPUMBAVU.

Yale Yale ya akina zolan mark na wachezaji wake dejen na Ottara.

Mbona vipers Kuna KIPA mzuri, marumo yule washngtone, hata Sudan Kuna KIPA WA Ermereck.

UPUMBAVU mwingine unafanya na VIONGOZI WA Simba.
10%
 
Simba bado wanasajili kwa kubeti,makipa wapo humuhumu kwa wamatumbi wenzetu Vipers,Al hilal,n,k wanafahamika washadaka mpaka vumbi.
 
Back
Top Bottom